Mapadre waanza rasmi kumpigia Magufuli kampeni

Mapadre waanza rasmi kumpigia Magufuli kampeni

Hawa mapadre mliwasifu walivyosema waumini waseme no kwa katiba pendekezwa

Mkuu jiongeze waliungwa mkono kwenye KATIBA cz CCM waligeuza issue ya TAIFA km mali yao huoni tofauti hapo
 
magufuli ni mpango wa mungu,hakuna namna nyingine tanzania inahitaji mtu mwenye kaliba ya magufuli aka kagame wa tanzania

Nawewe ni RAIA wa NCHI hii kwa mawazo km haya kwanini UNGA wa SEMBE usiuzwe elf 1200 kwa kilo ikiwa Tunalima wenyewe hapa tanzania
 
Mkuu@kelao usemalo nikweli Mimi naabudu KKKT kimara namuheshimu sana Mchungaji wangu bt nasikitika aneleta HISIA zake kwamba MAGUFULI atafaa hii naichukia sana Km unavyojua viongoz wa Imani wanaushawishi mkubwa kwa waumini wao Mbaya zaidi CCM wanapoendelea kuumiza hii NCHI wanakuwa kimya hii sisawa CCM kuwa madarakani hata aje MALAIKA kupitia chama hicho hakuna Jipya litakalofanyika

Halafu waislam wakilalamika kuna udini si watakuwa wamesema ukweli.
 
najua angemsema slaa ua lowawa msinge pinga kelele,lakini ukweli utabaki kuwa ukweli hakuna wa kumfananisha nae katika vigezo vya urais magufuli
pili kufananisha mchakato uliompata magufuli na ule wa kikwete ni kuonyesha kuwa ndo umeaza kushabikia siasa jana,

Wengine tukijadili issue serious kumbe wenzetu mnaleta ushabiki kazi ipo
 
Wewe mtoa mada ndo mchawi,kama kimetokea kwako nyumbani wewe na mkeo,munayaongea nae padre wenu mnamfuata mnamtonya Usirudie hivi na hivi. Hata wewe ukikosana na mkeo unaongea nae taratibu na mnapata suluhisho sasa wewe unamwaga mtama kwenye kuku na hatujui kama ni ukweli.Watu kama nyie msio na common sense ni hatari sana katika jamii.Heri kufungiwa jiwe na kutupwa baharini.

Mkuu,,,,hivi unajua kuwa hawa jamaa wanajifanya wanajua kila kitu Uende ofisini kwake umshauri unajitaka Dawa ni JF watu wengi wamenyooka sana kupitia hii FORUMS tatizo wanadhani waumini wengi wa sasa ni bado maKONDOO yanaishi kwa mawazo ya MTU mwingine Madhila yote waliyofanya CCM bado wanawadanganya waumini wao eti,,CCM yajenga NCHI hii nidharau kwa waumini wao
 
bantulile

Mkuu umemuelewa vzr mleta mada hajakwambia au sisi wengine tunaowapinga kwamba wasifurahie MTU bt wakiwa majumbani kwao sio Madhabahuni kuwaambia waumini eti,,,NCH sasa imempata RAIS anamaanisha nini ikiwa uchaguzi haujafanyika Msiwatetee hawa ndio waliingiza mkenge hii NCHI kwa kikwete leo wanaleta ujinga ule ule wanadhani wananchi sisi ni POYOYOZ huyo maGUFULI amekuwepo kwenye Serikali Sikh nyingi umewahi kumsikia akikemea mfumo mBOVU wa CCM ulimsikia kwenye BUNGE la KATIBA aliongea nini acheni haya mambo wengine tunakasilika MTU kutumia madhabahu ya MUNGU kuleta HISIA binafsi za Mgombea wake
 
Last edited by a moderator:
kwasababu kamuona magufuli anafaa ,angemsema slaa ngeshangilia ,wanafiki nyie,

huyu padre ni miongoni mwa watu wachache ambao wanajua taifa hili linamtaka mtu wa aina gani kwasasa ,hapa sio siasa ni ubora wa mtu na maitajio ya aina ya rais anayetakiwa ,asante mtumishi,

anafaa kwake yy...km anataka siasa apande majukwaani na c madhabahuni..embu fikiri kila kanisa ingemnadi mgombea wake hali ya nch itakuwaje?
 
Inasemekana rais mkristo atatoka katoliki tu. Na rais muislamu atatoka ------------tu hivyo basi huyu ajaye ni rais wa katoliki ingawa katoliki ilimtaka Pinda sasa inabidi wamsapoti huyu. EL dhehebu pia limemponza tz ni katoliki na shia. Mi mkatoliki wa kufa na kuzikana ila huyu padri anapaswa kuvuliwa joho mambo ya udini sifagiliii issue inaishia kwenye ukawa vs ccm

Evidence??
 
Halafu waislam wakilalamika kuna udini si watakuwa wamesema ukweli.

Mkuu kinachofanyika sio issue ya uDINI ni uCCM cz hawa viongozi wa hizi IMANI wanaamini wakiwapigia Debe wakichaguliwa watakuwa wanawakumbuka Kwani Kikwete alieitwa Chaguo la MUNGU Methodius Kilaini kwani. kikwete alikuwa Mkristo acheni kuwaza namna hiyo
 
..hata Shekhe wa mkoa wa Dar es salaam wa Bakwata alikuwa uwanja wa ndege kumpokea Dr.Magufuli.

..wananchi tunapaswa kuelewa kwamba hawa viongozi wa dini ni binadamu kama sisi hivyo wana MAPUNGUFU yao.

..zaidi tunapaswa kuwashtaki kwa wapiga kura. Hilo litatuweka karibu zaidi na wapiga kura.

Cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kinachofanyika sio issue ya uDINI ni uCCM cz hawa viongozi wa hizi IMANI wanaamini wakiwapigia Debe wakichaguliwa watakuwa wanawakumbuka Kwani Kikwete alieitwa Chaguo la MUNGU Methodius Kilaini kwani. kikwete alikuwa Mkristo acheni kuwaza namna hiyo

Mkuu, mimi sikusema ni udini kwani najua kabisa hapo ni uchumia tumbo na si zaidi. Lakini vilevile anayesema ni udini bado hatapuuzwa kwani ni vigumu kwa watu wa kawaida mtaani kutengenisha malengo ya mtu anayechumia tumbo na anayetenda kwa ajili ya udini. Na mbaya zaidi awepo mgombea mwislam itakuwa ngumu zaidi..
 
Inasemekana rais mkristo atatoka katoliki tu. Na rais muislamu atatoka ------------tu hivyo basi huyu ajaye ni rais wa katoliki ingawa katoliki ilimtaka Pinda sasa inabidi wamsapoti huyu. EL dhehebu pia limemponza tz ni katoliki na shia. Mi mkatoliki wa kufa na kuzikana ila huyu padri anapaswa kuvuliwa joho mambo ya udini sifagiliii issue inaishia kwenye ukawa vs ccm

evn i....mm ni mkatoliki lakin kwa hili hapana.
 
hii habari imekaa kimbea mbea.maana kichwa kinasema MAPADRE.lkn ukisoma ndani utakuta ni mahubiri ya PADRE mmoja ya siku moja.mi nnadhani ungesema padre asema au aamua kumpigia magufuli uraisi na wapinzani ubunge.
 
Watuache wananchi tuamue wenyewe sio kupangiwa nin tufanye.
 
Back
Top Bottom