Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,168
- 28,819
Huyo Padre achukuliwe hatua stahiki
Mkuki kwa nguruwe! Mmesahau 2010 mapadri walivyompigia debe dk slaa? Hii nchi inaongozwa na kanisa na Kama kanisa limeamua magufuri awe rais hakuna wa kupinga nyie mnasikiliza viongozi wenu wanasema nini na kufata tu, kipindi cha nyuma mliwalaumu waislam kwa kuchanganya dini na siasa ila hata nyie mlikuwa mnachanganya tatizo waislam hawakua wanafiki walisema waziwazi Kama mnavyofanya nyie leo
Hatari
Hawa mapadre mliwasifu walivyosema waumini waseme no kwa katiba pendekezwa
.... huyo padre alaaniwe
Kwani mabavicha yana akili? Zaidi ya viroba vichwa vyao vitupu sana.Umeshangaa Padre? Mbona haukumsema Askofu Gwajima na genge lake pale kawe?
Huyo Padre achukuliwe hatua stahiki
Mie ni Mkatoliki lakini kwa hili Mchungaji wangu amenikwaza!!