Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

Halafu bado alikuwa anajifanya Kuitaka Yanga SC wakati kumbe ni ' Tapeli ' Mtupu. Hakuna Mhindi aliyetutesa, aliyetudhalilisha na kutudharau wana Simba SC kama huyu ila sasa tunafurahi kuona ' anavyonyooshwa ' na naomba Mamlaka husika wazidi tu ' Kumyoosha ' kwani amesababisha mabaya mengi ya Kiuchumi hapa nchini Tanzania. Asante sana Mahakama Kuu ya Tanzania na ' mkazieni ' hivyo hivyo na ' Hasira ' zangu Kwake zimezidi zaidi baada ya ' Wafuasi ' wake wana Yanga SC juzi pale kwa ' Mkapa ' zamani ' Shamba la Bibi ' ambapo walishangilia kupita maelezo goli la Kwanza la AS Vita Club huku wakiwa wanatudhihaki kwa kila namna. Hakuna Kumuonea Huruma / Imani huyu Gabachori / Panjuani.
kamwene
 
Poor Manji..walianza nae kwa ishu za drugs sasa wamefika huku.

Mwenzake yule yeye alitekwa, naona kama yameshaisha.
 
Quality group is around 1.2$bilion companies value​
Kuna Shida sehemu maana hata Zanzibar kwenye stonetownvillageproject kuna shida
Pia Honda south Africa wamevunja mkataba na qualitymotorlimited ambaye alikuwa distributor WA Honda product in tanzania
 
Hawezi kuwa aliweka rehani nyumba yake ya kulala wala biashara anayoitegemea.

Wamekamata mashamba ya rehani ambayo hata hakumbuki anayo. Kwa nini niwape cash 25 bilion, acha wakamate mi asset isiyoendelezeka, rehani kazi yake nini
 
Maamkizi.

Ahsante kwa nadharia ya kichokozi (Provacation thesis).

Nitarudi.
 
Halafu bado alikuwa anajifanya Kuitaka Yanga SC wakati kumbe ni ' Tapeli ' Mtupu. Hakuna Mhindi aliyetutesa, aliyetudhalilisha na kutudharau wana Simba SC kama huyu ila sasa tunafurahi kuona ' anavyonyooshwa ' na naomba Mamlaka husika wazidi tu ' Kumyoosha ' kwani amesababisha mabaya mengi ya Kiuchumi hapa nchini Tanzania. Asante sana Mahakama Kuu ya Tanzania na ' mkazieni ' hivyo hivyo na ' Hasira ' zangu Kwake zimezidi zaidi baada ya ' Wafuasi ' wake wana Yanga SC juzi pale kwa ' Mkapa ' zamani ' Shamba la Bibi ' ambapo walishangilia kupita maelezo goli la Kwanza la AS Vita Club huku wakiwa wanatudhihaki kwa kila namna. Hakuna Kumuonea Huruma / Imani huyu Gabachori / Panjuani.
Duh
 
So Jackal umeona nimechangia ki CCM sana eti? Umewahi kuajiriwa au umejiajiri? Wafanyakazi wako unaweza kukubaliana nao tu wawe wanakaa makwao bila ruhusa yako? Au mahali unapofanyia kazi (kama umeajiriwa) unaweza kukaa tu home bila ruhusa?
Tumia akili, kuwa na MAHABA na CHADEMA siyo lazima uwe MPUMBAVU. Huyu mnayemtetea ameonesha dharau kubwa sana kwa waliomchagua, alipata ubunge kwa neema sana leo analeta sababu nyepesi kwenye jambo zito.
Amefukuzwa na CHADEMA mmepoteza jimbo tayari, na mimi nasema;
"HUYU ALIFIKA BEI, MBINU ALIYOTUMIA NI WELL PLANNED..."
Endeleeni kupoteza muda kumtetea wakati yeye anawachora tu.
Mimi sipo CCM wala CHADEMA ila huwa sipendi UJINGA.
Naona uwezo wa kufikiri ni mdogo sana .Sio kila mahali ni kutumia sheria, kuna mahali busara inatakiwa itumike ,kama hii issue ya Nasari, sio mihemuko Kama wewe ulivyo sasa hivi!
 
Back
Top Bottom