Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

Kumbe ww chizi sikujua

Niongezee lingine tafadhali. Ila kama Yeye alivyotutesa katika iliyokuwa Awamu ya Mtu alliyekuwa akimpa Kiburi na Jeuri sasa Awamu hii isiyotaka Ujinga na Upumbavu inamnyoosha na Mimi naiomba izidi tu Kumnyoosha hadi ahame na nchi kabisa aende Kenya au akaishi kabisa kwa Dada yake huko nchini Canada. Hasira zangu zote kwa Yanga SC nimezihamishia Kwake.
 
Ndu guy kwa hili la Lissu amejichanganya sana.

Huwezi kumfutia mfanyakazi mshahara kwa sababu huna taarifa na mahali alipo halafu ukamuacha na kazi yake.
 
Halafu bado alikuwa anajifanya Kuitaka Yanga SC wakati kumbe ni ' Tapeli ' Mtupu. Hakuna Mhindi aliyetutesa, aliyetudhalilisha na kutudharau wana Simba SC kama huyu ila sasa tunafurahi kuona ' anavyonyooshwa ' na naomba Mamlaka husika wazidi tu ' Kumyoosha ' kwani amesababisha mabaya mengi ya Kiuchumi hapa nchini Tanzania. Asante sana Mahakama Kuu ya Tanzania na ' mkazieni ' hivyo hivyo na ' Hasira ' zangu Kwake zimezidi zaidi baada ya ' Wafuasi ' wake wana Yanga SC juzi pale kwa ' Mkapa ' zamani ' Shamba la Bibi ' ambapo walishangilia kupita maelezo goli la Kwanza la AS Vita Club huku wakiwa wanatudhihaki kwa kila namna. Hakuna Kumuonea Huruma / Imani huyu Gabachori / Panjuani.
Level yako inatosha tu kubwabwaja kama mke mwenza mitandaoni. Kuna jambo liweke akilini ili usije kuugua sononi mbeleni: HATA AKONDE VIPI, TEMBO HATOKUWA MDOGO KAMA SUNGURA
 
Pole sana Manji... Manji ni moja ya Watanzania ambao walijitahidi kutoa ajira, na wananchi wengi walionja pesa yake, enzi za ufalme wake... Ila ndo ivo tena. Maisha ni kupanda na kushuka...

Ajitahidi tu kuwa mbunifu aweze kuimaliza hiyo mikopo chefuchefu, maisha yaendelee...
 
Hujaelewa ,umekurupuka kujibu
Iko hivi labda wewe umeona meengi aliyoongea Nassari umeona hilo ulijibu.Inamaana maelezo yake kwako yamekubalika 90%.

Hoja iko hivi,kama alilipwa hiyo posho maana yake alihudhuria ndo maana alilipwa.ko hakuna haja ya kusema tena hakuhudhuria.Au mi ndo sijanwelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole yake,hizo ndio faida na hasara za madeni...
 
No stress,jungu kuu halikosi ukoko.Lazima iko several billions neatly stashed in secluded corner of the globe. CCM oyee!
 
Mm huwa nachangia zaidi ninavyoviona mkuu, kwahiyo huo pia ni mchango maana ndipo jicho lilipotua mwanzo......bado niko ndani ya mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naungana na wewe mkuu. Kinyume na hivyo, hakukuwa na maana ya kuiweka hiyo picha. Kuna mtu mwingine ameongelea MLEGEZO wa Manji, lakini hajahojiwa kwa nini ameongelea hiyo picha!
 
Back
Top Bottom