Kutambiana kote walikokuwa wanatambiana na Mengi kumbe ni madeni matupu yamewatawala.
Hakuna mfanya biashara bilionea Tanzania ambae hana madeni katika ma benki..Hapana wa quality group
Jr[emoji769]
[emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Daaah kashakuwa Yusufu
Walianza kumnyang'anya channel 10 bado hawakitosheka. Lile litimu litaendelea kutembeza bakuli mpk lishuke daraja
Nasimamia katika ile dhana ya innocence until proven guilty.Katika utawala bora ilitakiwa ajieleze kwanza kwa nini Bunge lisichukue hatua kabla ya kumfukuza...Je kama ana ushahdi kuwa hajakosa mikutano mitatu au kama ana sababu za msingi za kukosa kuhudhuria vikao huoni kama bunge litakuwa limekurupuka kumfukuza?
Napenda tusimamie kanuni na sheria ila haki ionekane kutendeka.
Nimeipanda busara hii na kuelewa kinagaubaga. Ukweli ni kwamba X-MP kauaibisha upinzani, wasomi na viongozi vijana. Anataka ithibitike kweli waTz ni wavivu na janjajanja kumbe ni yeye tu. Si busara kujiruhusu baadae ukatoa taarifa hata kama boss wako unamdharau! Watumishi wa namna hii ni mizigo, heri spika kautua.Busara wakati wa vita ni kupigana vita.
Yaani post zako muda fulani utafikili una mtindio wa ubongo!!Manji huyu huyu wa chadema?
Halafu bado alikuwa anajifanya Kuitaka Yanga SC wakati kumbe ni ' Tapeli ' Mtupu. Hakuna Mhindi aliyetutesa, aliyetudhalilisha na kutudharau wana Simba SC kama huyu ila sasa tunafurahi kuona ' anavyonyooshwa ' na naomba Mamlaka husika wazidi tu ' Kumyoosha ' kwani amesababisha mabaya mengi ya Kiuchumi hapa nchini Tanzania. Asante sana Mahakama Kuu ya Tanzania na ' mkazieni ' hivyo hivyo na ' Hasira ' zangu Kwake zimezidi zaidi baada ya ' Wafuasi ' wake wana Yanga SC juzi pale kwa ' Mkapa ' zamani ' Shamba la Bibi ' ambapo walishangilia kupita maelezo goli la Kwanza la AS Vita Club huku wakiwa wanatudhihaki kwa kila namna. Hakuna Kumuonea Huruma / Imani huyu Gabachori / Panjuani.
Umemaliza upuuzi wako ulioko kichwani?Halafu bado alikuwa anajifanya Kuitaka Yanga SC wakati kumbe ni ' Tapeli ' Mtupu. Hakuna Mhindi aliyetutesa, aliyetudhalilisha na kutudharau wana Simba SC kama huyu ila sasa tunafurahi kuona ' anavyonyooshwa ' na naomba Mamlaka husika wazidi tu ' Kumyoosha ' kwani amesababisha mabaya mengi ya Kiuchumi hapa nchini Tanzania. Asante sana Mahakama Kuu ya Tanzania na ' mkazieni ' hivyo hivyo na ' Hasira ' zangu Kwake zimezidi zaidi baada ya ' Wafuasi ' wake wana Yanga SC juzi pale kwa ' Mkapa ' zamani ' Shamba la Bibi ' ambapo walishangilia kupita maelezo goli la Kwanza la AS Vita Club huku wakiwa wanatudhihaki kwa kila namna. Hakuna Kumuonea Huruma / Imani huyu Gabachori / Panjuani.
Hivi hii benki ya NBC ya Tanzania ina uwezo wa kumkopesha mtu mmoja tsh bilioni 25? Mbona ni kama pesa nyingi au kuna kitu sijaelewa?Kwa mfanyabiashara mkubwa mwenye kampuni zaidi ya 200 ndani na nje ya nchi TSH 26 ni kiwango cha kawaida sana kudaiwa tatizo lipo jambo lingine nyuma ya pazia ndio linalomuweka uchi zama hizi
Nakubaliana na naunga mkono mkuu.Hilo ndilo kosa alilolifanya Manji. Kuwekeza kwenye biashara ambazo michakato yake inapitia kwenye tenda. Anahonga bilioni anapata faida ya bilioni. So anakuwa kawafanyia kazi wengine. Wajanja kina Mo na Bakhresa waliwekeza kwenye biashara za retail.wanafanya clean business wanapiga pesa...
Mkuu unaona mbali sana.
Kuna picha moja ya aliyevaa hivyo ilitolewa huko Facebook na kuletwa huku inaonesha kakaa vibaya na hakuna 'kufuli'. Je, ule ndio uvaaji wake haswa?
Manji huyu huyu wa chadema?
Mkuu umefkiria,mbali sana,Manji anawachora tuu.Hawezi kuwa aliweka rehani nyumba yake ya kulala wala biashara anayoitegemea.
Wamekamata mashamba ya rehani ambayo hata hakumbuki anayo. Kwa nini niwape cash 25 bilion, acha wakamate mi asset isiyoendelezeka, rehani kazi yake nini
Wapi huko alisema?Magufuli aliwaambia matajiri wataishi kama mashetani
Mbali alikotoka au anakokwenda?Mkuu unaona mbali sana.
Hakuna mfanya biashara yeyote yule aliyefanikiwa bila kutumia mikopo vinginevyo utakuwa hutumii akili kubeza mikopoKutambiana kote walikokuwa wanatambiana na Mengi kumbe ni madeni matupu yamewatawala.