Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

Naona uwezo wa kufikiri ni mdogo sana .Sio kila mahali ni kutumia sheria, kuna mahali busara inatakiwa itumike ,kama hii issue ya Nasari, sio mihemuko Kama wewe ulivyo sasa hivi!
Busara ni pamoja na kunukuu miongozo iliyompa uhalali Mh. Spika kufanya maamuzi. Kweli kwamba CHADEMA mnadharaulika sometimes kwa kuwa critics kwa mambo yenye hoja za msingi.
Unataka busara gani kwa siasa inayoendelea Tanzania?
Tumia akili, UNAMPA ADUI nafasi then unakuja kuigiza KULIA mbele ya kamera. Unyenyekevu pia wakati wa mateso ya kisiasa ni busara. Ninyi mmetumia busara kabla ya kutufikisha hapa?
CHADEMA haina uongozi? Mbona hauzungumzi iwapo umewahi KUTOA taarifa ya Nassari kuhusu matatizo yake ya kifamilia?
Busara wakati wa vita ni kupigana vita.
 
Mtoro Bungeni anatakiwa aitwe au Yeye ndiyo afanye Juhudi zake Kujipeleka mbele ya Pilato Bunge?
Nasimamia katika ile dhana ya innocence until proven guilty.Katika utawala bora ilitakiwa ajieleze kwanza kwa nini Bunge lisichukue hatua kabla ya kumfukuza...Je kama ana ushahdi kuwa hajakosa mikutano mitatu au kama ana sababu za msingi za kukosa kuhudhuria vikao huoni kama bunge litakuwa limekurupuka kumfukuza?

Napenda tusimamie kanuni na sheria ila haki ionekane kutendeka.
 
Pole sana Manji... Manji ni moja ya Watanzania ambao walijitahidi kutoa ajira, na wananchi wengi walionja pesa yake, enzi za ufalme wake... Ila ndo ivo tena. Maisha ni kupanda na kushuka...

Ajitahidi tu kuwa mbunifu aweze kuimaliza hiyo mikopo chefuchefu, maisha yaendelee...
Na dili za magumashi umesahau,Manji hana tofauti sana na joka la makengeza kwenye ku mastermind madili madili.

Kila magumashi wapo hao watu,kwa maelezo yako ya ajira anakuibia buku halafu anakudanganya kwa peremende ya tshs 50,utasema anakupenda mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu bado alikuwa anajifanya Kuitaka Yanga SC wakati kumbe ni ' Tapeli ' Mtupu. Hakuna Mhindi aliyetutesa, aliyetudhalilisha na kutudharau wana Simba SC kama huyu ila sasa tunafurahi kuona ' anavyonyooshwa ' na naomba Mamlaka husika wazidi tu ' Kumyoosha ' kwani amesababisha mabaya mengi ya Kiuchumi hapa nchini Tanzania. Asante sana Mahakama Kuu ya Tanzania na ' mkazieni ' hivyo hivyo na ' Hasira ' zangu Kwake zimezidi zaidi baada ya ' Wafuasi ' wake wana Yanga SC juzi pale kwa ' Mkapa ' zamani ' Shamba la Bibi ' ambapo walishangilia kupita maelezo goli la Kwanza la AS Vita Club huku wakiwa wanatudhihaki kwa kila namna. Hakuna Kumuonea Huruma / Imani huyu Gabachori / Panjuani.
Hapa nakubaliana na wewe kwa asilimia mia
 
Tatizo lako la ushoga umeanza toka ukiwa mdogo kwahiyo halitibiki endelea nalo tu
 
Watu masikini bana utawajua tu
Halafu bado alikuwa anajifanya Kuitaka Yanga SC wakati kumbe ni ' Tapeli ' Mtupu. Hakuna Mhindi aliyetutesa, aliyetudhalilisha na kutudharau wana Simba SC kama huyu ila sasa tunafurahi kuona ' anavyonyooshwa ' na naomba Mamlaka husika wazidi tu ' Kumyoosha ' kwani amesababisha mabaya mengi ya Kiuchumi hapa nchini Tanzania. Asante sana Mahakama Kuu ya Tanzania na ' mkazieni ' hivyo hivyo na ' Hasira ' zangu Kwake zimezidi zaidi baada ya ' Wafuasi ' wake wana Yanga SC juzi pale kwa ' Mkapa ' zamani ' Shamba la Bibi ' ambapo walishangilia kupita maelezo goli la Kwanza la AS Vita Club huku wakiwa wanatudhihaki kwa kila namna. Hakuna Kumuonea Huruma / Imani huyu Gabachori / Panjuani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na dili za magumashi umesahau,Manji hana tofauti sana na joka la makengeza kwenye ku mastermind madili madili.

Kila magumashi wapo hao watu,kwa maelezo yako ya ajira anakuibia buku halafu anakudanganya kwa peremende ya tshs 50,utasema anakupenda mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndilo kosa alilolifanya Manji. Kuwekeza kwenye biashara ambazo michakato yake inapitia kwenye tenda. Anahonga bilioni anapata faida ya bilioni. So anakuwa kawafanyia kazi wengine. Wajanja kina Mo na Bakhresa waliwekeza kwenye biashara za retail.wanafanya clean business wanapiga pesa...
 
Kumbe ndiyo maana kila alipokuwa akitaka kurudi Jangwani kuendeleza mradi wa ufugaji Vyura alikuwa anakataliwa. Walijua kuwa bado hawajamalizana naye!!
Walianza kumnyang'anya channel 10 bado hawakitosheka. Lile litimu litaendelea kutembeza bakuli mpk lishuke daraja
 
Halafu bado alikuwa anajifanya Kuitaka Yanga SC wakati kumbe ni ' Tapeli ' Mtupu. Hakuna Mhindi aliyetutesa, aliyetudhalilisha na kutudharau wana Simba SC kama huyu ila sasa tunafurahi kuona ' anavyonyooshwa ' na naomba Mamlaka husika wazidi tu ' Kumyoosha ' kwani amesababisha mabaya mengi ya Kiuchumi hapa nchini Tanzania. Asante sana Mahakama Kuu ya Tanzania na ' mkazieni ' hivyo hivyo na ' Hasira ' zangu Kwake zimezidi zaidi baada ya ' Wafuasi ' wake wana Yanga SC juzi pale kwa ' Mkapa ' zamani ' Shamba la Bibi ' ambapo walishangilia kupita maelezo goli la Kwanza la AS Vita Club huku wakiwa wanatudhihaki kwa kila namna. Hakuna Kumuonea Huruma / Imani huyu Gabachori / Panjuani.
Sidhani kama kafilisika. Inawezekana kapiga hesabu na kaona bora dhamana ichukuliwe kuliko kurejesha mkopo. Biashara ni ujanja tu. Anaweza akawa ameinvest hizo hela kwingine kunakolipa zaidi kuliko mortgage aliyoweka. Bora uachie mortgage waichukue na wewe unabaki na fedha unafanya biashara. Kumbuka ndiyo manji huyu huyu kulikuwa na tetesi kuwa kafilisika. Huyu anacheza na akili za watu. Subirini tutakuja kuona baadaye.
 
Back
Top Bottom