PENTAKINYE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 817
- 829
hufuatiliagi hata habari lisu hajafutiwa mishahara hujamsikia ndugai alivyosema au mnasikiliza tu lisu anavyoropoka
Mimi siyo mtaalam wa sheria, nataka kujua kama akienda mahakamani kuweka pingamizi la kufutiwa ubunge hata kama upande wa speaker utashinda lkn kutokana na utamaduni wa mahakama zetu kuchelewesha hukumu za kesi, je, hukumu ikitoka baada ya Julai hata kama kashindwa kesi, sihakutakuwa tena na uchaguzi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kumbe posho yao kwa siku ni 300! khaaaa😱😱Emesema asingeweza kuacha mke halafu akaenda bungeni kusaini posho ya laki tatu kwa siku. Hapa utagundua wabunge kweli wanajali matumbo yao kuliko kazi ya kikatiba waliyoiomba.
Vilevile amesema hajutii kwa uamuzi alioufanya, kwa maana hiyo anakubaliana na adhabu ya spika...
Halafu anaonyesha vimeseji vya kutakiana sikukuu njema eti ndio utaratibu rasmi wa kuwasiliana na Spika..
Baada ya kufuatilia hili sakata nimejiridhisha kuwa Joshua Nassar amekubaliana kwa moyo mmoja na adhabu aliyopewa.
Kwa maana hiyo hata kwenda mahakamani ni shinikizo toka nje hasa kwenye chama chake ila yeye hataki,hajutii na hana cha kupoteza.
Sent using Jamii Forums mobile app
hufuatiliagi hata habari lisu hajafutiwa mishahara hujamsikia ndugai alivyosema au mnasikiliza tu lisu anavyoropoka
Sure, mm mwenyewe nilijifungua ht Mr wangu hakuwepo mpk baada ya wiki ndio akapata ruhusa kuja kutuona.Yule dogo mjinga sana....kwani yeye ni wa kwanza kuoa na mke kujifungua....sisi waajiriwa, wake zetu wanajifungua tunachukua 3 days za paternity leave kisha tunarudi kibaruani mtoto hata 7 bado?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakunja laki tatu kwa siku eti hiyo posho tu, wanatafuna kodi zetu na dharau juu.!Hivi kumbe posho yao kwa siku ni 300! khaaaa😱😱
Hata hivyo kweli bora ajiweke pembeni tena arudi zake Marekani alikokuwa akatulizane na ikibidi atafute kitu cha kumwingizia kipato kwasababu umri wake bado ni mdogo.Ndiyo maana nimeshakuambia mapema kuwa Jamaa ameshakuwa ' Fixed ' na Watu walikuwa wanamtafuta Siku nyingi sana ajae katika ' Frame ' wamalize Kazi na imekuwa hivyo. Namshauri asipoteze muda wake na akubaliane tu na matokeo huku sasa akijiandaa Kisaikolojia zaidi kuanza maisha mapya nje ya Siasa au kuwa Mbunge. This is Africa!
Ruhusu aliomba kwa taarifa ipi, Spika hana barua yoyote ya ruhusa.Amekosa kuhudhuria mikutano mitatu mfululizo.
Kafanya kusudi huyu.
- mkutano wa kwanza aliomba ruhusa?
- wapili aliomba?
- wa tatu ndiyo hiyo tunaambiwa aliandika email.
Jana alivyomakiza kuongea tu akaingia mitini, hakuruhusu hata swali moja kuulizwa.Kwa mtazamo wangu, japo sio mtaalamu wa saikolojia, ila kwa uzoefu nilionao, hasa wa kuwasikiliza na kuwafuatilia wanasiasa.......ukweli mi kwamba kuna mengi yapo nyuma ya hili sakata, kijana Nassari anahadaa wapiga kura wake, anajua movie anayocheza.
Hapana wa quality groupManji huyu huyu wa chadema?
Hata hivyo kweli bora ajiweke pembeni tena arudi zake Marekani alikokuwa akatulizane na ikibidi atafute kitu cha kumwingizia kipato kwasababu umri wake bado ni mdogo.
Ila kupoteza nafasi ya uwakilishi kwa uzembe wa aina hii liwe fundisho kwa wengine wenye tabia za kujisahau.
Sent using Jamii Forums mobile app