kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,259
- 13,268
Miezi tisa hajakanyaga bungeni?Huwa ana hoja makini sana bungeni.. kichwa smart...
Nadhani akina Mbowe, Lijuakali na Lissu wasimpe kiburi na kwenda mahakamani .... Ni miezi 9 hajakatiza Dodoma
Anayo nafasi ya kuomba radhi kwa spika na pengine spika anaweza kumwachia kwa onyo kali
Sifurahii kupoteza kwake hivyo namuombea apewe huruma na kurudishwa bungeni.