Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
Eti Erickb52 umemuona Vin Diesel anachosema na sijui Filipo kama ana taarifa kuwa mkewe marejesho kuna mtu anampenda penda anaitwa Vin Diesel
Haya Mamndenyi uwe na ujasiri wa kupambana na nyumba ndogo za Vin Diesel na tabia yake ya kupenda penda
sweetlady uko wapi dear mekumiss wewe
Kila mmoja anakukana huku Mungi mara Vin Diesel mara Erickb52 mara Arushaone
Heheee kumbe bado uko kwenye Probation lol
Eti Erickb52 umemuona Vin Diesel anachosema na sijui Filipo kama ana taarifa kuwa mkewe marejesho kuna mtu anampenda penda anaitwa Vin Diesel
Haya Mamndenyi uwe na ujasiri wa kupambana na nyumba ndogo za Vin Diesel na tabia yake ya kupenda penda
sweetlady uko wapi dear mekumiss wewe
Kila mmoja anakukana huku Mungi mara Vin Diesel mara Erickb52 mara Arushaone
Heheheeee matazimio yako ni ya masaa tu
Nangoja report ya Mamndenyi