Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Unaweza kuthibitisha umalaya wake, ulishawahi kujiuliza kama mamako sio malaya na kama sio malaya aliweza vipi kukuzaa.
Jenga tabia ya kuheshimu wanawake.
 
Kwahiyo mliruhusu malaya Kugombea Ubunge?? Mliruhusu MALAYA kuwa mwanachama? Hahaha.. Nacheka Kwa dharau hapa.. . Hahaha...

Maji ya shingo.. Mange Spring is real
 
Leo Mange kawa mchungu,Unamuita ma$¥ya wakati chamani mwenu kuna Mimama inasifa za hilo jina ulilomwita Mange.mjibuni mange kwa hoja za kisiasa sio kwa maisha binafsi maana tutaanika uchafu wa wamama wa chamani mwenu halafu mje mpige kelele udhalilishaji.
 
Ngoja tuone kina mama wa jamiiforum bila kujali itikadi za vyama wala tabaka watakemea hiyo heading au watakaa kimya......tuanze kina mama floor ni yenu
 
"Mfalme" wa nchi hii ni wetu sote, kila mtu anayo haki ya kukosoa, kupinga na kutoa maoni juu ya "Juma". From her own words, kwa sasa hana chama chochote cha siasa, ni mtu huru mwenye mawazo huru.
Ni CCM ndiye mlimtengeneza Mange, alifanya the same wakati wa kumpinga Lowasa & UKAWA, wanafki mlipiga makofi na kumtukuza, leo amegeuka kupinga utawala & mtukufu, kawa "Malaya" na "mgonjwa wa akili". Subirini dawa iingie, kuna akina Mange wengi tu kwa sasa.

KADA
 
kitu kizuri huyu mama ligi anaiweza, sijamuona ccm wa kushindana nae
 
Jina la Mange si geni kwa watanzania wengi . kabla ya kujipatia umaarufu kwenye mitandao ya kijamii hasa instagram katika kipindi cha kampeni za mwaka 2015 kwa kumtuka kisawasawa Mgombea Ukawa (lowasa), Mange Kimambi ailikuwa maarufu sana nchini miaka ya 2006-2009 kwa biashara ya UKAHABA kabla ya kutimkia Nchini Marekani kuendeleza biashara yake ya UKAHABA ila akapata bahati ya kuolewa nchini huko na mteja wake wa siku nyingi.
Mange amejinasibu kuwa yeye ni mwanachama wa CCM wa muda mrefu ila ukweli ni kwamba Mange Kimambi ni mwanachama wa CCM kuanzia tarehe 03/03/2015, akagombea ubunge mwezi wa 8/2015 katika jimbo la Kinondoni(uchaguzi wa ndani) akaangukia pua (alishika nafasi ya mwisho).
Alifanyakazi yenye maslahi binafsi kwa CCM kwenye uchaguzi wa 2015 instagram, alimsumbua sana January ili amtumie USD 5000 ya vocha ili aendeleze moto wake wa watusi kwa lowasa, wakati huohuo alikuwa akimshawishi kinana na bulembo ili wamshawishi magufuli amkumbuke kwenye ufalme wake,,wote walimwambia asijari wafanye kazi kwanza fadhila zitalipwa baadae.
Baada ya uchaguzi Mange akakumbushia ahadi zake kwa January, kinana na bulembo na akajibiwa kuwa kazi aliyokuwa anaifanya alifanya kutimiza wajibu wake kama mwanachama na kuhusu uteuzi akaambiwa asubiri busara za Magufuli
Baada ya Magufuli kumaliza teuzi zake muhimu, Mange akamgeukia Magufuli na kufanya kazi ya kumchafua, kukigeuka chama chake na hatimae kuchoma kadi ya CCM. Alianza kumsifia Lowasa, kukisifia Chadema na kuweka mipango ya kugombea ubunge jimbo la kinondoni kupia Chadema.
Kwasasa Mange ameachika na mumewe mzungu kutokana na kuchoshwa na tabia yake ya UKAHABA uliokubuhu.
TABIA NI KAMA NGOZI HUWEZI KUIBADILI
Ni aibu sana na fedheha CCM kukiri kwamba mnatetewa na Malaya,kumbe zile kelele zenu za kujitia Mna maadili ni unafiki mkubwa,2015 itakua mlitumia hadi Mashoga nyie kuwa campaign
 
Jina la Mange si geni kwa watanzania wengi . kabla ya kujipatia umaarufu kwenye mitandao ya kijamii hasa instagram katika kipindi cha kampeni za mwaka 2015 kwa kumtuka kisawasawa Mgombea Ukawa (lowasa), Mange Kimambi ailikuwa maarufu sana nchini miaka ya 2006-2009 kwa biashara ya UKAHABA kabla ya kutimkia Nchini Marekani kuendeleza biashara yake ya UKAHABA ila akapata bahati ya kuolewa nchini huko na mteja wake wa siku nyingi.
Mange amejinasibu kuwa yeye ni mwanachama wa CCM wa muda mrefu ila ukweli ni kwamba Mange Kimambi ni mwanachama wa CCM kuanzia tarehe 03/03/2015, akagombea ubunge mwezi wa 8/2015 katika jimbo la Kinondoni(uchaguzi wa ndani) akaangukia pua (alishika nafasi ya mwisho).
Alifanyakazi yenye maslahi binafsi kwa CCM kwenye uchaguzi wa 2015 instagram, alimsumbua sana January ili amtumie USD 5000 ya vocha ili aendeleze moto wake wa watusi kwa lowasa, wakati huohuo alikuwa akimshawishi kinana na bulembo ili wamshawishi magufuli amkumbuke kwenye ufalme wake,,wote walimwambia asijari wafanye kazi kwanza fadhila zitalipwa baadae.
Baada ya uchaguzi Mange akakumbushia ahadi zake kwa January, kinana na bulembo na akajibiwa kuwa kazi aliyokuwa anaifanya alifanya kutimiza wajibu wake kama mwanachama na kuhusu uteuzi akaambiwa asubiri busara za Magufuli
Baada ya Magufuli kumaliza teuzi zake muhimu, Mange akamgeukia Magufuli na kufanya kazi ya kumchafua, kukigeuka chama chake na hatimae kuchoma kadi ya CCM. Alianza kumsifia Lowasa, kukisifia Chadema na kuweka mipango ya kugombea ubunge jimbo la kinondoni kupia Chadema.
Kwasasa Mange ameachika na mumewe mzungu kutokana na kuchoshwa na tabia yake ya UKAHABA uliokubuhu.
TABIA NI KAMA NGOZI HUWEZI KUIBADILI
Mkuu povu linakutoka sana. Achana na hizo mambo utakufa na preasure.
 
mange hana influence yoyote kwa mtu mwenye akili timamu ni malaya tu kama wengine
Sasa mkuu kuna watu wanamfollow kila leo na hapa mnavyomuandama team Lumumba ndio mnazidi kumpa umaarufu watu wanazidi kumtafuta ili wamjue.

Kama unahisi hana infulence angalia mnavyohangaika chama kizima kupambana na Mange kila mtu anahangaika upande wake.

Maana tangu aanzishe hiyo movemeny ya kuchoma kadi kila siku Lumumba mnakuja na nyuzi za Mange tu.
 
Muite Mange utakavyomuita account yake ya instagram ako na followers zaidi ya laki saba na thelathini amewashawishi wenye kadi za ccm wachome moto na sasa hivi wamemuitikia sana wanazichoma na kupost video nyingi sana. Kadi za CCM sasa zinateketea kama ubani unavyoteketea kwenye chetezo.
 
Kwasasa Mange ameachika na mumewe mzungu kutokana na kuchoshwa na tabia yake ya UKAHABA uliokubuhu.
TABIA NI KAMA NGOZI HUWEZI KUIBADILI
Daa!! watu mnafahamu mambo ya ndani ya watu, nijuavyo mimi haya mambo mtu anaweza kumhadithia mtu mwingine akiwa yupo kumpumulia
 
Back
Top Bottom