Utadhan utadumu kwa upumbav unaokutoa povu kias hicho?karne ya 21 hii endelea kubakia karne za togwa!Nivizuri hao wote aendenao Chadema, ni kitendocha fedhea kuwa na wanachama wenye mawazo kama ya Mange. Mawazoyake yanaendanana akiliza nyumbu wa ufipa.
Teh teh tehMbona wakati ule huyo Mange alipokuwa akipost kumkashifu mgombea wa Ukawa, Edward Lowassa wakati wa kampeni mwaka jana nyinyi wenyewe watu wa CCM mlimshangilia sana na kumuita shujaa wenu?
Tulieni wanaccm dawa iwaingie vizuri.....
Hivi nyinyi maccm tayari mshasahau kuwa hata nyinyi kwenye mikutano yenu ya kampeni mwaka jana, mara kadhaa kwenye mikutano yenu mlikuwa mkizichoma moto kadi za Ukawa zilizokuwa zikirejeshwa kwenye mikutano hiyo?
Kumbe mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu sanaaa!
Unapenda-ga sana kujitekenya wewee...
Hivi unajua nguvu alizonazo Mange..??
Ana more than 740,000 followers kwenye IG page yake..
Meaning that, page yake unaweza kuta inapitiwa hata na 2M viewers halafu unaona hana impact yoyote kwenye jamii!!??
Ukweli ni hivi.. Watakaotoka CCM ni wengi kupitia kampeni ya Mange kuliko watakaoingia CCM.
Unasema wengi wameanza kurudi CCM, weka facts kwa evidence sio bla bla.
hahahah,mkuu acha kujifarij nyie watu w chama tawal bhan.waoga najua apo mnajipa moyo baad ya kuwa mange amewapa kidonda na kampen yake kushka kasi pole san ase.Yaani baada tu ya Mange jana kuchoma kadi yake, kuna maelfu wamerejesha imani kwa chama hicho. Kwa sabahu Mange alikuwa anadhalilisha sana chama chetu hasa kutokana na tabia yake ya kuishi kwa kujiuza huku wakati mwingine amevalia nguo za CCM
What goes around comes around imegeuka sumu.....Yaani baada tu ya Mange jana kuchoma kadi yake, kuna maelfu wamerejesha imani kwa chama hicho. Kwa sabahu Mange alikuwa anadhalilisha sana chama chetu hasa kutokana na tabia yake ya kuishi kwa kujiuza huku wakati mwingine amevalia nguo za CCM
Ccm wameishiwa nguvu.MTU mmoja anawaumiza kichwa.mwenzenu uko aliko ana lala kwa raha zake
Kwa hiyo Mange ana wafuasi wengi kuliko Lowasa??... Mange anawafuasi wengi na asilimia kubwa humuelewa.. Dada yangu alikuwa CCM pure ila Leo tu kabadilika
... PolePole ni mtu wa mitandao ya kijamii hivyo ataumia kuona anachofanya Mange ukizingatia yeye ni mtu wa Itikadi na Uenezi hivyo akiendelea kumjibu atazidi kukichafua Chama..Mange akiibua clip za Polepole kipindi cha katiba ni hatari sana kwake na Chama
... Kuna watu wanaosoma na kumuelewa kimya kimya na kulisha sumu wengine...huwa mitandao inasambaza habari exponentially ndio maana info za social network zinakuwa viral...
... Sasahivi kila mwenye shida na aliyeonewa hutuma lalamiko kwake.. Yaani Amekuwa kama sanduku la maoni hii huleta picha mbaya serikalini hata kama ni uongo...
... Alikuwa ndani ya CCM na anajua madudu yao na ana marafiki wengi wapo humo.. Wakimpa info za ndani na kuziweka public Chama kitaangamia
.. Anawavutia sana millenials ambao huwa kawaida hawapendi siasa na sasa wanapata updates kila siku... Hii ni hatari Kwa Chama cha Mapinduzi..
Mange Spring is Real... CCM tuchukue tahadhari mapema!
Ethos
Kwenye hiyo picha huyo binti katoka bomba!