Hao waliouwa Waafrika wenzao bila kosa siyo magaidi?
Nani wa kulaumiwa,Serikali watokapo?wahamiaji wenyewe?Serikali ya Africa kusini?wananchi wa afrika kusini wenye chuki ya wahamiaji?
The way I see, wa kulaumiwa ni serikali ya ANC kwa kushindwa kuwaelimisha wananchi wake. Baada ya uhuru wamejiunga na elimu ya mweupe bila kuibadilisha. Elimu ya Kaburu haiku-focus kwenye historia ya Africa zaidi ya Southern Africa. Walitakiwa historia ipanuliwe waingize ya Ukombozi wa Africa ili vijana wao wajifunze ni jinsi gani Weusi wenzao waliwasaidia. Waliokuwa nje wahakufika hata asilimia 5 ya population. Wengi wao walipambana ndani kwa ndani, hivyo hawawezi kujua kwa undani kilichokuwa kinaendelea nje ya nchi yao zaid ya kusikia kuwa viongozi wao wakuuu wako Tanzania au Zambia.
Wasouth wako so naive kiasi kwamba hata wanafunzi vyuoni huwa wanafikiri uwepo wa foreign students kule ni kuwachukulia nafasi zao. Hivyo kama hawatakuwa makini kuna siku utasikia wanawavamia foreign students.
Ubaguzi wa mtu mweusi ni hatari kulikoo ubaguzii wwt
Na hasa waga.tia weusiiiiii
Kwa hiyo unamsifia Mugabe kwa kuropoka? Hivi unamfahamu Mugabe wewe au unamsikia tu? Yeye mbona anawaua waafrika wenzake, I mean black innocent Zimbabweans. How many has he killed? Unaweza kupata data kama huna tunaweza kukuwekea. Mugabe is one of the leaders who killed so many innocent people and he should not be the one preaching to anybody. Starting with Tongogara.
Rais wetu hajaongea chochote mbaka sasa!
Robert Mugabe amekuwa kiongozi wa Zimbabwe kwa miaka 35
Kilichoporomosha uchumi wa Zimbabwe ni nini?Zimbabwe iliokuwa ni breadbasket katika Africa kwanini sasa ni omba omba?Wazimbabwe kwa malaki wamekimbilia afrika kusini sababu ya njaa.ukosefu wa kazi.ajira duni na ukandamizaji wa Serikali ya Mugabe.Unasema South Africa ni super power kwanini Nigeria asiwe super power?Usione vyaelea vinaudwa.
naziona akili za viroba hizi katika ubora wake.
duh na namna wa Africa walivyo wasaidia kupigania uhuru wao, Nyerere aliiweka Tanzania Mhanga kwa sababu ya ukombozi wa Southern Africa .
The south African government has been to quite for a long time
Kula like 1000 mkuu...
Hawajui kuwa wanaua ndugu zao wa Damu hao.... Wawasome kina Tshaka Zulu, Zwengedaba na Mputa Maseko walikoenda kama sio SADC countries, leo wanamuona Mzungu mkombozi kuliko wamatumbi waliowasaidia kwenye Apartheid regime to Majority rule...hatutetei illegal immigrants lakini waheshimu sheria na taratibu... Kama SA ina udhaifu katika Sera za ajira/ uchumi waisulubu ANC na wazungu wao kwanza
hawa South Africans ni Mbwa kabisa yaaani Kama watanzania 21 wanarudishwa lazima tuwarudishe wa South Africa 42. Don't throw stones if your living in a glass houseSouth Africans will kick down a statue of dead white man, but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe."Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi mzungu yeyote aliye hai.Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwasababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe
Loading...
Warundi hawakuchomwa kisu wala kunyanganywa Mali zao, upumbavu mtupuNinyi wooote elezeni Operation ya wahamiaji Haramu mulifanya nini? Mulishuhudia wahamiaji toka Burundi na Rwanda tu wakirudishwa na kuacha mali zao. Tena ikiendeshwa na Serikali.
Sasa eti munalalama kuona watu wa SA wakiwaondoa wahamiaji wa nchi yao!
Kama ulifurahia kuondolewa kwa wahamiaji haramu, ndo hivyo nasi tuvumilie wazuru wanapowaondoa wenzetu huko!
Kwa hiyo unamsifia Mugabe kwa kuropoka? Hivi unamfahamu Mugabe wewe au unamsikia tu? Yeye mbona anawaua waafrika wenzake, I mean black innocent Zimbabweans. How many has he killed? Unaweza kupata data kama huna tunaweza kukuwekea. Mugabe is one of the leaders who killed so many innocent people and he should not be the one preaching to anybody. Starting with Tongogara.
Warundi hawakuchomwa kisu wala kunyanganywa Mali zao, upumbavu mtupu
Do you remember the bloody Matabele war? did you or have you ever heard of it?
Huyu mzee namkubali
Hajawahi kumkubali Mandela
Mandela was a Coward
Weka hizo data,Mugabe si muuaji. The best African son. Hizo propaganda za wazungu tu