Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

Mugabe ameongea ukweli kabisa kama Gwajima.
 
Sauti ya Simba wa Afrika.
he is good for nothing! Under his leadership he make Zimbabwe and zimbabweans poor! Imagine out of 25,000,000 population of Zimbabweans 3,000,000 are in south Africa how the he'll can speak this?? He is the cause of the problem and he had no idea! This are the hell of african leaders we have
 
There is only one authoritative and coward less president in Africa......that is comrade....Others are nothing but..........guess what....
 
10423887_10205494960406434_7874485909903740579_n.jpg

"South Africans will kick down a statue of dead white man,but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe.

"Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi mzungu yeyote aliye hai.Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwa sababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe
 
Attachments

  • Mugabe.jpg
    Mugabe.jpg
    49.6 KB · Views: 421
Huyu ndio kiongozi pekee mwenye uthubutu. Kwan kinachotokea south Africa hakipaswi kunyamaziwa na kiongozi yeyote hata afisa mtendaji kata kwani sio tu uvunjaji wa haki za binadamu lakini ni kuudhalilisha utu wa mwafrika. Hebu jiulize wanaofanya kazi south afrika ni weusi tu?, nakubali maneno ya nyerere kwamba ukionja dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Kwa waafrika kusini kubaguliwa na wazungu kwa mtazamo wangu wazungu walikuwa sahihi kabisa kumbe nao wana asili ya ubaguzi na laiti wangefanya research wangebaini wao ndio wanaoziba ajira za watu wengi mwa nchi za kiafrika Tanzania ni mojawapo. Inauma
 
Natumaini muwazima wenzangu wote wa humu ndani, poleni na mishughuliko na michosho ya weekend.
Leo nilipokuwa nasikiliza dotch welle(kama nimekosea spellings we elewa tu hivyo) idhaa ya kiswahili ya Ujerumani walikuwa wakizungumzia swala la wenzetu south Africa mpaka nchi zingine kama zimbabwe, ghana, kenya, ethiopia zimeamua kurudisha watu wao nyumbani. Kilicho nifurahisha na mpka kuandika uzi huu ni kauli aliyotoa mugabe kwa wa south africa. Nanukuu…….. Watu wa south africa kama mliweza kuangusha sanamu ya mzungu na kuivunja kutokanana yale mliyotendewa je mtaweza kujaribu kumpiga kofi tu mzungu aliye hai???? Mwisho wa kunukuu, kiukweli nineno dogo ila lina maana kubwa na kama ukilielewa wasouth wakalielewa nadhani watajiona wa.ji. nga sana kuuwa waafrika wenzao.

Mugabe ni kichwa sana huyu jamaa sema hatuoni sasa hivi mpaka afe ndio tutaona makala zake na sifa ambazo hazitakuwa na msaada tena.
Kweli namkubali sana huyu jamaa. Aogopi wala kuwa na hofu.
 
Mugabe ni Rais ambaye anasema kile anachokiamini akiamini hana cha kupoteza. Kwa hiyo ni rais ambaye siyo mnafiki.
 
Natumaini muwazima wenzangu wote wa humu ndani, poleni na mishughuliko na michosho ya weekend.
Leo nilipokuwa nasikiliza dotch welle(kama nimekosea spellings we elewa tu hivyo) idhaa ya kiswahili ya Ujerumani walikuwa wakizungumzia swala la wenzetu south Africa mpaka nchi zingine kama zimbabwe, ghana, kenya, ethiopia zimeamua kurudisha watu wao nyumbani. Kilicho nifurahisha na mpka kuandika uzi huu ni kauli aliyotoa mugabe kwa wa south africa. Nanukuu…….. Watu wa south africa kama mliweza kuangusha sanamu ya mzungu na kuivunja kutokanana yale mliyotendewa je mtaweza kujaribu kumpiga kofi tu mzungu aliye hai???? Mwisho wa kunukuu, kiukweli nineno dogo ila lina maana kubwa na kama ukilielewa wasouth wakalielewa nadhani watajiona wa.ji. nga sana kuuwa waafrika wenzao.

Mugabe ni kichwa sana huyu jamaa sema hatuoni sasa hivi mpaka afe ndio tutaona makala zake na sifa ambazo hazitakuwa na msaada tena.
Kweli namkubali sana huyu jamaa. Aogopi wala kuwa na hofu.

Kwa hiyo unamsifia Mugabe kwa kuropoka? Hivi unamfahamu Mugabe wewe au unamsikia tu? Yeye mbona anawaua waafrika wenzake, I mean black innocent Zimbabweans. How many has he killed? Unaweza kupata data kama huna tunaweza kukuwekea. Mugabe is one of the leaders who killed so many innocent people and he should not be the one preaching to anybody. Starting with Tongogara.
 
Tupe hzo takwimu za wale waliouliwa na rm
 
Back
Top Bottom