Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

Usemayo hayo ni kweli au umesikia tu wakisema wapita njiani?
I know how the famous Jongwe started dealing with the land issue. I know how the land issue was part of the independence agreement. Do you know who is Rekayi Tangwenya? google the name then get to know what happened, may be.

Do you remember the bloody Matabele war? did you or have you ever heard of it?

Haya tuachie tunaoyajua mkuu. musiingie kichwa kichwa kwenye siasa za Afrika na Ulaya. Mugabe ndo anayefaa. wengine hawa ni taabani kabisa!! Hawaijui Afrika na hawajui hata Ulaya inawaonaje.Wakishangiliwa na kuitwa mara kadhaa wanaropoka na kugawa kila kitu!!!

I you serious au umetumwa. Unaposema ''do you remember what do you mean? Unafikiri habari kila tunazoandika tunapata kutoka Google? Ati son of Africa, Africa my foot! Mbona kila kukicha analilia kwenda ulaya? Kajamaa ni kauaji fact, tena kanaua Waafrika wenzake, sasa kako mbioni kuachia madaraka kwa kimada wake ambae ni Dr sasa baada ya kusoma kwa siku 60 ati ndio aongoze nchi. Umalaya waliokuwa wanafanya sasa ati ndio tegemeo la Zimbabweans. Wacha kuropoka kwa mambo usiyoyajua.

Mugabe ni mfano wa kuigwa na wajinga.
 
Hawa Wazulu ni washenzi kabisa,hivi hawajui makampuni yao ndio yamejaa nchi za watu wakinyonya na kuchuma ilikupeleka huko kwao?
Sasa na wenzao wakienda kuchuma huko kwao kuna ubaya gani?wakati wanacho kifuata kimetoka kwenye nchi zao?
 
to be colonized for too long can turn you into a complete twat.hata sisi wabongo tumetawaliwa sana na ccm ndio maana sisi wapumbavu tofauti yetu ni kwamba atuchomi watu moto
 
Kwa hilo niko pamoja naye kazungumza ukweli mtupu mzee wa watu, sijasikia wageni wa kizungu wakisumbuliwa na hao wabaguzi wa kiafrika.... Sisi blacks kweli bado tuna uhuru mamboleo aliozungumzia Mwl Nyerere.
 
to be colonized for too long can turn you into a complete twat.hata sisi wabongo tumetawaliwa sana na ccm ndio maana sisi wapumbavu tofauti yetu ni kwamba atuchomi watu moto

Kwa jinsi siasa za nchi hii zinavyoendeshwa hususan na chama tawala cha CCM, pasipo mabadiliko ya kifikra na ya dhati kuna siku haya yatatokea tu, tuombe tu Mungu atuepushe na dhahama hizi.
 
I you serious au umetumwa. Unaposema ''do you remember what do you mean? Unafikiri habari kila tunazoandika tunapata kutoka Google? Ati son of Africa, Africa my foot! Mbona kila kukicha analilia kwenda ulaya? Kajamaa ni kauaji fact, tena kanaua Waafrika wenzake, sasa kako mbioni kuachia madaraka kwa kimada wake ambae ni Dr sasa baada ya kusoma kwa siku 60 ati ndio aongoze nchi. Umalaya waliokuwa wanafanya sasa ati ndio tegemeo la Zimbabweans. Wacha kuropoka kwa mambo usiyoyajua.

Mugabe ni mfano wa kuigwa na wajinga.

Si sawa kuwaita wengine wenye mawazo tofauti na wewe,huenda wewe ni mjinga zaidi.
 
I you serious au umetumwa. Unaposema ''do you remember what do you mean? Unafikiri habari kila tunazoandika tunapata kutoka Google? Ati son of Africa, Africa my foot! Mbona kila kukicha analilia kwenda ulaya? Kajamaa ni kauaji fact, tena kanaua Waafrika wenzake, sasa kako mbioni kuachia madaraka kwa kimada wake ambae ni Dr sasa baada ya kusoma kwa siku 60 ati ndio aongoze nchi. Umalaya waliokuwa wanafanya sasa ati ndio tegemeo la Zimbabweans. Wacha kuropoka kwa mambo usiyoyajua.

Mugabe ni mfano wa kuigwa na wajinga.

Duh! Nawe uko nchi hii na Afrika hii? btw, ukiangalia kwenye message uliyoandika kuna makosa ya lugha ya kiingereza. Tumia option ya 'Edit Post' urekebishe msg yako. Inaruhusiwa.

Unasema Mugabe anaua? Unaikumbuka Operation Tokomeza? nini kilifanyika nchi hii na wewe ulisema au kufanya nini? Hivi Ulimboka ilikuwaje na Waziri mkuu alisemaje pale Bungeni kabla mtu huyu hayajamkuta? Mwangosi je? Hebu niambie nani anatarajiwa kuachiwa ikulu baada ya Kikwete.

Niliuliza kama unakumbuka nikidhani umewahi kuhangaisha kichwa kuifahamu Zimbabwe na Mugabe wao, kumbe hoi! Wewe unaamua kumlaani Mugabe ili iweje? Aondoke kwa kudhani Zimbabwe itakuwa nzuri? Puff!
 
Mkuu tatizo tuna short memory huyo Mugabe aliwafyeka maelfu ya wamatabele,kabila la Josua Nkomo aliepingana na Mugabe.Operation hiyo ilihusisha maaskari wa Korea Kaskazini.Labda ndio maanake hataki kuachia madaraka.

Bora sana wewe unaijua Zimbabwe. Kuna hili kundi la watu ambao tangu walipomaliza kujifunza KKK (Kusoma, Kuandika na kuhesabu) basi wao ni kununua magazeti na kusoma ukurasa wa mwisho tu! Hawa akina Wacha1, Sadoliki, n.k. Kila utakachouliza hawajui, nimejaribu kumuongoza huyu Wacha1 nikidhani atastuka yeye uzi ule ule wa kutojua!

In fact Wandebele walipopigwa na kuuwawa hakuna mzungu aliyekemea lakini wazungu wachache walipoguswa kwenye mashamba tu, dunia ya wazungu ikapiga kelele utadhani ni doomsday. sasa tena kuna hawa wenzetu wanaobwatuka humu JF eti tu wazuru wamefanya fujo. Sisi wenyewe tumewafanyia fujo Warundi na wanyarwanda hakuna aliyesema!

Tunamlaumu Mugabe wakati Waafrika wanakufa Mediterranean bila hata kiongozi mmoja wa Afrika kufungua domo lake. Je, kesho Ulaya ikigoma na kuwarudisha kwa kipigo wasiotaka, tutasemaje? Muulize rais wetu kama anajua kwamba vijana wako desperate na tatizo la ajira. Utasikia eti vijana wajiajili, wapi? hata hapa ni bomu tu! na kila nchi inabidi ibebe mzigo wake siyo kuwa na tumaini kwamba eti watakimbilia ulaya au SA, wao SA waende wapi?
 
I you serious au umetumwa. Unaposema ''do you remember what do you mean? Unafikiri habari kila tunazoandika tunapata kutoka Google? Ati son of Africa, Africa my foot! Mbona kila kukicha analilia kwenda ulaya? Kajamaa ni kauaji fact, tena kanaua Waafrika wenzake, sasa kako mbioni kuachia madaraka kwa kimada wake ambae ni Dr sasa baada ya kusoma kwa siku 60 ati ndio aongoze nchi. Umalaya waliokuwa wanafanya sasa ati ndio tegemeo la Zimbabweans. Wacha kuropoka kwa mambo usiyoyajua.

Mugabe ni mfano wa kuigwa na wajinga.
Aisee!!! haya uliyoandika yanatoka KICHWANI AU MAKALIONI?? Ni kama vile una HANGOVER ya starehe zote zinazokufaa wewe, yaani UZINZI, VIROBA, BANGE NA COCAINE. Vipi bwanaa
 
I you serious au umetumwa. Unaposema ''do you remember what do you mean? Unafikiri habari kila tunazoandika tunapata kutoka Google? Ati son of Africa, Africa my foot! Mbona kila kukicha analilia kwenda ulaya? Kajamaa ni kauaji fact, tena kanaua Waafrika wenzake, sasa kako mbioni kuachia madaraka kwa kimada wake ambae ni Dr sasa baada ya kusoma kwa siku 60 ati ndio aongoze nchi. Umalaya waliokuwa wanafanya sasa ati ndio tegemeo la Zimbabweans. Wacha kuropoka kwa mambo usiyoyajua.

Mugabe ni mfano wa kuigwa na wajinga.
Tangu nianzishe huu uzi sijapata kuchangia maana ni jambo la fedheha sana walilofanya wasouth, ila kama kweli wewe ni Muafrika basi nathubutu kusema bado tuna safari ndefu ya kulikomboa bara letu kutoka utumwani.
 
Bora sana wewe unaijua Zimbabwe. Kuna hili kundi la watu ambao tangu walipomaliza kujifunza KKK (Kusoma, Kuandika na kuhesabu) basi wao ni kununua magazeti na kusoma ukurasa wa mwisho tu! Hawa akina Wacha1, Sadoliki, n.k. Kila utakachouliza hawajui, nimejaribu kumuongoza huyu Wacha1 nikidhani atastuka yeye uzi ule ule wa kutojua!

In fact Wandebele walipopigwa na kuuwawa hakuna mzungu aliyekemea lakini wazungu wachache walipoguswa kwenye mashamba tu, dunia ya wazungu ikapiga kelele utadhani ni doomsday. sasa tena kuna hawa wenzetu wanaobwatuka humu JF eti tu wazuru wamefanya fujo. Sisi wenyewe tumewafanyia fujo Warundi na wanyarwanda hakuna aliyesema!

Tunamlaumu Mugabe wakati Waafrika wanakufa Mediterranean bila hata kiongozi mmoja wa Afrika kufungua domo lake. Je, kesho Ulaya ikigoma na kuwarudisha kwa kipigo wasiotaka, tutasemaje? Muulize rais wetu kama anajua kwamba vijana wako desperate na tatizo la ajira. Utasikia eti vijana wajiajili, wapi? hata hapa ni bomu tu! na kila nchi inabidi ibebe mzigo wake siyo kuwa na tumaini kwamba eti watakimbilia ulaya au SA, wao SA waende wapi?

Mkuu Africa ipo njia panda. Ni vita,mauwaji,njaa,Ebola,Malaria,HIV,Utapiamlo,dhiki,Ufisadi,dhuruma,Nusu elimu,Fikra mgando za watawala.Ni shida tu! Africa Union imegeuka talk shop.Sitashangaa kusikia Berlin Conference nyingine.
 
These zulus are barking at the wrong tree, they should know that they are their own worst enemy, how can we get this into their uneducated thick skulls?
 
I you serious au umetumwa. Unaposema ''do you remember what do you mean? Unafikiri habari kila tunazoandika tunapata kutoka Google? Ati son of Africa, Africa my foot! Mbona kila kukicha analilia kwenda ulaya? Kajamaa ni kauaji fact, tena kanaua Waafrika wenzake, sasa kako mbioni kuachia madaraka kwa kimada wake ambae ni Dr sasa baada ya kusoma kwa siku 60 ati ndio aongoze nchi. Umalaya waliokuwa wanafanya sasa ati ndio tegemeo la Zimbabweans. Wacha kuropoka kwa mambo usiyoyajua.

Mugabe ni mfano wa kuigwa na wajinga.

Yaani wewe ni mpumbavu number one hivyo vigezo vyako vya kukariri unataka kuharalisha Unyama Ufanyike kisha Mugabe akae Kiimya? Acha Hizo mugabe ni Rais ngangari na mwenye Uchungu na Ubaguzi wa kijinga unaofanywa na wapumbavu wenzako.
 
Back
Top Bottom