Ninyi wooote elezeni Operation ya wahamiaji Haramu mulifanya nini? Mulishuhudia wahamiaji toka Burundi na Rwanda tu wakirudishwa na kuacha mali zao. Tena ikiendeshwa na Serikali.
Sasa eti munalalama kuona watu wa SA wakiwaondoa wahamiaji wa nchi yao!
Kama ulifurahia kuondolewa kwa wahamiaji haramu, ndo hivyo nasi tuvumilie wazuru wanapowaondoa wenzetu huko!
umechanganya mambo hapo. sisi tuliwaondoa wahamiaji haramu tena baada ya kuwapa muda wa kutosha either kuomba uraia, kuomba ukaazi nchini au kuondoka, tena likiratibiwa na serikali.
hayo hayakuwepo south Africa.
BTW hakanyagi tena Ulaya kwa sababu ni mwizi wa mchana kweupe. Shopping zote za ulaya zimepigwa stop! Chacha mnaomchabikia nendeni mkanywe nae chai.
Tatizo unadhani kuna standards za kuhangaika na wahamiaji haramu. Sisi tulitumia vyombo vya serikali, Ufaransa waliwakusanya na kuwapandisha kwenye ndege kuwarudisha north africa, US imeweka fence ya umeme kuzuiya mexicans, SA wananchi wameamua kukamatana nao mtaani na huwezi kudai ndege kama wale wa ufaransa.
Kwa mtu mwenye uelewa hata siku moja hawezi kuingia nchi ya watu bila kibali! Ukianza kutetea uhamiaji haramu hilo tena ni tatizo kubwa zaidi. Waliopewa uraia TZ siyo wahamiaji haramu ni wakimbizi na hilo lina sheria yake inayolinda refugee status.
Samahani, una elimu gani? Naogopa nisije nikawasiliana na kijana wa form 2 kwa wiki nzima!
Mimi nipo hapa Darban kinachotokea si wahamiaji Haramu kuandamwa kwani hao si shida kwao, wanaopata shida ni wale Wakimbizi ambao wengi wanalipwa na kupewa Huduma na Serikali ya Africa kusini ndiyo maana wanaweza kumiliki maduka na biashara mbalimbali na wana Reseni harali, mhamiaji haramu hawezi kupewa Reseni ya Biashara hao wengi wapo mitaani ni wauza Unga na kazi za Ndani wao huwa ni wajanja kuuawa huuawa kwa bahati mbaya kwani wenyeji wengi ni marafiki zao.Tatizo unadhani kuna standards za kuhangaika na wahamiaji haramu. Sisi tulitumia vyombo vya serikali, Ufaransa waliwakusanya na kuwapandisha kwenye ndege kuwarudisha north africa, US imeweka fence ya umeme kuzuiya mexicans, SA wananchi wameamua kukamatana nao mtaani na huwezi kudai ndege kama wale wa ufaransa.

Siku ukiacha ushoga na akili yako itatulia na kuwaza +!
Kuna viongozi wengi Africa wanaongea maneno mazuri kusikia lakini hayasaidii chochote,alipaswa kujiuliza kwanini wananchi wake wanakimbia nchi yao na kukubali kuishi maisha ya hatari kama wakimbizi South Afrika.South Africans will kick down a statue of dead white man, but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe."Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi mzungu yeyote aliye hai.Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwasababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe
Loading...