Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

Wengi wa wathirika wala hawana ajira rasmi. Hawa jamaa wanatafuta tu victim wa kumtolea hasira zao eti wageni wanawachukulia kazi zao. Waseme ni wageni wangapi wanafanya kazi za kusafisha au kuuza super markets............. uvivu wao na pride inawafanya wadharau kazi na biashara ndogo ndogo. Hawakuzoea viduka vya mlango mmoja au vya kuuzia toka dirishani. Sasa mgeni mgeni kaaingia na hizo biashara ndogo ndogo wanaona anatengeza pesa .......... wivu umewaingia. Most of those people are unemployable ndiyo sababu wana muda wa kufanya fujo!!

Ila serikali ya SA nayo ni ya kulaumiwa. Wazungu wanawazidi akili .................. Mpaka leo cariculum ya shule imeshindwa kuwafundisha historia ya kuwa kuna wenzao (wapigania uhuru) waliishi nje na kuna nchi kama Tanzania. Zambia n.k. zimewasaidia katika ukombozi. Ndiyo maana adui yao ni mweusi mwenzao tu na siyo mgeni mweupe wala mchina. Actually, number ya wageni wazungu, wachina na wahindi wageni inawezekana ni kubwa kuliko ya weusi lakini wao hawalioni hilo!!

Live joh, kuna kipindi flani orijino comedy walipelekwa ulaya, masanja akawa anawahoji watu, akampata msouth africa, akamuuliza kuhusu nyerere akamkana kabsa akasema hamjui.. Duh, nikashangaa hv hawa jamaa ili kuleta uzalendo, mwafrika ajivunie uafrika, amuone ni ndugu yake, nikajiulza hawa hata historia wanasoma kweli jinsi viongozi wa zaman walivyojitahid kuwa kuwa kitu kimoja, niliwazia hiki kitu, niliyemueleza karbu alinibishia... Miaka imepita na leo yamejiri
 
Baada ya mwandishi wa BBC kumuuliza "Mr president don"t.you think at the age of 88 is the best time for you to retire? Mugabe akamjibu "Have you ever ask the Queen this question?

Mr President, don't you think that you are now too old? In fact my brain is very young!
 
"South Africans will kick down a statue of dead white man, but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner". Comrade Robert Mugabe.

Kwa kweli hawa ndugu zetu wametia aibu!!
 
Wa souz ni wapuuzi walikuwa watia huruma enzi za utuwala wamakabulu lakini leo hii wanatuona black wenzao sio watu
 
Wa souz ni wapuuzi walikuwa watia huruma enzi za utuwala wamakabulu lakini leo hii wanatuona black wenzao sio watu
Yaani kwa kweli ni simanzi na majonzi, mara hii wamesahau jinsi nchi za kiafrika zilivyopigana kuwasaidia kujinasua katika makucha ya makaburu!! Na sisi tuanze kuwatimua huku kwetu, sijui tutakaaje? Sasa jama wenye maduka nao wamechukua nfasi zao za kazi zipi? Hata kama hawakusoma wanataka waajiriwe maofisini bila elimu? She.nzy type kabisa!! Pale Mazimbu wameacha watoto wao, sasa wanawatimua na si ajabu kwenye hilo kundi kuna wale watoto wao waliozaa na Waluguru pale Morogoro!!
 
Miongoni mwa watu weusi waliosahau walikotoka ni hawa wa S.A. Ni zaidi ya wapumbavu kwani kwa kuwaua wenzao weusi kwa sababu za ajira kwenye makampuni ya wazungu ni dhaili kuwa sasa wameukubali utumwa moja kwa moja. Kwa msauzi anayeua mwafrika mweusi alafu akamsujudia Mandela hakika amelaaniwa,daima atakuwa mtumwa kwa makaburu.
Mugabe kaongea ukweli wa upande mmoja il wa upande wa pili ni kwamba si africa tuu,hata pakistani,china na wengine wanwamwagia watu ambao hata wewe ukiwa south africa huwezi fanya kazi kwani wanapokea hela ndogo san akufanya kazi kwani hata wengine hawalipi kodi wanakaa gheto,achilia mbali unga na uhalifu mwingine....Napenda jamaa waongeze kasi hadiw apuuzi warudi kwao wakafanya kazi..Watakaokwenda huo wakafanya kazi zenye maana.Ila si hizi za kaina Masonange,Ngweir
 
Je ungekuwa wewe ndio mwananchi wa Afrika ya Kusini huna ajira sababu tu wageni kutoka nje wamechukua nafasi yako ya ajira utakubali?Sisemi wananchi wajichukulie sheria mikononi la hasha.Idadi ya wahamiaji tena ambao hawana makaratasi ni bwengi zaidi ya milioni tano.Afrika ya kusini inazidiwa na wimbi la wahamiaji haramu.Lakini kama Nchi za kiafrika zingeweka vipaumbele vya kuletea maendeleob wananchi wao,tatizo lingepungua kwa kiasi kikubwa.[/ QUOTE]
Hivi ni kazi gani hizo zinazofanywa na wahamiaji? Tax drivers? Wauza simu mikononi na vibanda?. Wengi wa hawa wahamiaji ni vibarua na ama ni chinga. NI AIBU ILIYOJE? Waafrika kwa ujumla wetu 'we are not complete package' lazima tutakuwa na kasoro. Kwa waafrika kuuawa tukiwa Russia au ulaya si ajabu sana LAKINI kuuawa ukiwa afrika tena na watu wa ngozi yako ni aibu. Acha binadamu waendelee kututawala. Praise MUGABE kwa statement yako.
 
Sijui tuanze na hawa wangoni huku kwetu ili wajue na sisi matahira! maana nasikia ni ndugu zao hawa....

Utuache Vangoni, unatujua vizuri? tusije tukarudia tuliyoyafanya wakati ulee! Ukifuatilia historia ya jamii yako, unaweza jikuta hata wewe si mtz.
 
Je ungekuwa wewe ndio mwananchi wa Afrika ya Kusini huna ajira sababu tu wageni kutoka nje wamechukua nafasi yako ya ajira utakubali?Sisemi wananchi wajichukulie sheria mikononi la hasha.Idadi ya wahamiaji tena ambao hawana makaratasi ni bwengi zaidi ya milioni tano.Afrika ya kusini inazidiwa na wimbi la wahamiaji haramu.Lakini kama Nchi za kiafrika zingeweka vipaumbele vya kuletea maendeleob wananchi wao,tatizo lingepungua kwa kiasi kikubwa.[/ QUOTE]
Hivi ni kazi gani hizo zinazofanywa na wahamiaji? Tax drivers? Wauza simu mikononi na vibanda?. Wengi wa hawa wahamiaji ni vibarua na ama ni chinga. NI AIBU ILIYOJE? Waafrika kwa ujumla wetu 'we are not complete package' lazima tutakuwa na kasoro. Kwa waafrika kuuawa tukiwa Russia au ulaya si ajabu sana LAKINI kuuawa ukiwa afrika tena na watu wa ngozi yako ni aibu. Acha binadamu waendelee kututawala. Praise MUGABE kwa statement yako.

Nani wa kulaumiwa,Serikali watokapo?wahamiaji wenyewe?Serikali ya Africa kusini?wananchi wa afrika kusini wenye chuki ya wahamiaji?
 
Wengi wa wathirika wala hawana ajira rasmi. Hawa jamaa wanatafuta tu victim wa kumtolea hasira zao eti wageni wanawachukulia kazi zao. Waseme ni wageni wangapi wanafanya kazi za kusafisha au kuuza super markets............. uvivu wao na pride inawafanya wadharau kazi na biashara ndogo ndogo. Hawakuzoea viduka vya mlango mmoja au vya kuuzia toka dirishani. Sasa mgeni mgeni kaaingia na hizo biashara ndogo ndogo wanaona anatengeza pesa .......... wivu umewaingia. Most of those people are unemployable ndiyo sababu wana muda wa kufanya fujo!!

Ila serikali ya SA nayo ni ya kulaumiwa. Wazungu wanawazidi akili .................. Mpaka leo cariculum ya shule imeshindwa kuwafundisha historia ya kuwa kuna wenzao (wapigania uhuru) waliishi nje na kuna nchi kama Tanzania. Zambia n.k. zimewasaidia katika ukombozi. Ndiyo maana adui yao ni mweusi mwenzao tu na siyo mgeni mweupe wala mchina. Actually, number ya wageni wazungu, wachina na wahindi wageni inawezekana ni kubwa kuliko ya weusi lakini wao hawalioni hilo!!

Mkuu umenena vema
 
South Africans will kick down a statue of dead white man, but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe."Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi mzungu yeyote aliye hai.Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwasababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe

Loading...

Mkuu Bob kapiga ikulu ya Pretoria!
 
Kilichoporomosha uchumi wa Zimbabwe ni nini?Zimbabwe iliokuwa ni breadbasket katika Africa kwanini sasa ni omba omba?Wazimbabwe kwa malaki wamekimbilia afrika kusini sababu ya njaa.ukosefu wa kazi.ajira duni na ukandamizaji wa Serikali ya Mugabe.Unasema South Africa ni super power kwanini Nigeria asiwe super power?Usione vyaelea vinaudwa.

Wewe hujui kitu nyamaza!!!!
Siasa za Zimbabwe na umoja wa mataifa vinakupiga chenga, nenda library kwanza ndo uje uchangie juu ya siasa za Zimbabwe !!!!
 
Back
Top Bottom