Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

WAZIWAZI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
1,815
Reaction score
1,576
South Africans will kick down a statue of dead white man, but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe."Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi mzungu yeyote aliye hai.Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwasababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe

Loading...
 
Miongoni mwa watu weusi waliosahau walikotoka ni hawa wa S.A.
Ni zaidi ya wapumbavu kwani kwa kuwaua wenzao weusi kwa sababu za ajira kwenye makampuni ya wazungu ni dhaili kuwa sasa wameukubali utumwa moja kwa moja.
Kwa msauzi anayeua mwafrika mweusi alafu akamsujudia Mandela hakika amelaaniwa,daima atakuwa mtumwa kwa makaburu.
 
Inasikitisha ila kuna umuhimu wa serikari kuwa rudisha watu ambao wako huko kwa sababu tofauti kuliko kukaa kimya
 
Sijui tuanze na hawa wangoni huku kwetu ili wajue na sisi matahira! maana nasikia ni ndugu zao hawa....
 
South Africans will kick down a statue of dead white man,but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe."Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi mzungu yeyote aliye hai.Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwasababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe

Loading...

South Africa is a failed state! The black youth are bunch of dickheads, all they think is meth, The black politicians are all deluded by what they think they are rulers ......the economy is still in the hands of white!
One simple fact, and it has been deeply rooted in all black DNA, just sit back and RELAX, everything is gonna just rain!!! So fucked, they don't wanna work.....*** em !!
 
South Africans will kick down a statue of dead white man, but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe."Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi mzungu yeyote aliye hai.Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwasababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe

Loading...
Mzee amenena
 
Wageni wengi wanafuata green pasture iliokosekana makwao sababu za kiuchumi na siasa mbovu makwao.Idadi ya wageni hasa economic migrants ni kubwa mno.Ili kupunguza tatizo ni nchi za kiafrika kuinua hali ya uchumi ktk nchi zao.Kudumisha demokrasia.na kupambana na ufisadi hasa viongozi wa kiafrika wengi wao ni matatizo.
 
Back
Top Bottom