Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

Mugabe simba wa Africa, pamoja na matatizo aliyonayo hajawahi kuzungumza kuwatenga waafrika amekua mstari wa mbele kuwapigania watu wake sema na wao hawana tofaut na wasauz hawana elimu wala ujuzi wanataka kurithi mali za wazungu hapo ndio tatizo,lakini swala la madin zimbabwe ni moja kati ya nchi zinazopata asilimia nyingi ikifuatiwa na botswana,wasauz wenyewe wananyonywa sana ktk madin yao na ujira mdogo,mugabe anawapa free entry ya bidhaa za nyumbani iwe chakula,fridge,tv in short home appliance kila mwisho wa mwezi,hayo mambo ya usalama wao wa taifa mm na ww hatuyajui.
 
Kwa hiyo unamsifia Mugabe kwa kuropoka? Hivi unamfahamu Mugabe wewe au unamsikia tu? Yeye mbona anawaua waafrika wenzake, I mean black innocent Zimbabweans. How many has he killed? Unaweza kupata data kama huna tunaweza kukuwekea. Mugabe is one of the leaders who killed so many innocent people and he should not be the one preaching to anybody. Starting with Tongogara.
walowezi wa zimbabwe wanajua kiswahili laaa
 
Kwa hiyo unamsifia Mugabe kwa kuropoka? Hivi unamfahamu Mugabe wewe au unamsikia tu? Yeye mbona anawaua waafrika wenzake, I mean black innocent Zimbabweans. How many has he killed? Unaweza kupata data kama huna tunaweza kukuwekea. Mugabe is one of the leaders who killed so many innocent people and he should not be the one preaching to anybody.

..kaeibu Tanzania we mkimbizi usijali hapa hatutokuua! Jisikie upo hom
 
Kwa ujumla Robert Mugabe is a strong leader. Vikwazo alivyo kumbana navyo angelikuwa JK angeli jiuzuru.

Kuna Picha ya askari Polisi wa S. Africa inasambaa humu yy akicheka mtu akiwa anaunguzwa moto!!

Style ya uhokoaji ni ya mzaha.

Ni wajibu kwa viongozi wote wa Africa kutoa tamko dhini ya Jacob Zuma na wa Afrikakusini kwa ujumla.
 
Hao waliouwa Waafrika wenzao bila kosa siyo magaidi?

What i know ni kwamba "DEMOCRACY goes parallel with DICTATORSHIP. Watu wanaojua politics wanalijua hilo.

Mtu kama kaasi sheria na misingi ya nchi yake kwanini asife tu? Mugambe atabaki kuwa SIMBA WA AFRIKA!. Ndiye kiongozi imara aliyebaki baada ya Ghadafi
 
Natumaini muwazima wenzangu wote wa humu ndani, poleni na mishughuliko na michosho ya weekend.
Leo nilipokuwa nasikiliza dotch welle(kama nimekosea spellings we elewa tu hivyo) idhaa ya kiswahili ya Ujerumani walikuwa wakizungumzia swala la wenzetu south Africa mpaka nchi zingine kama zimbabwe, ghana, kenya, ethiopia zimeamua kurudisha watu wao nyumbani. Kilicho nifurahisha na mpka kuandika uzi huu ni kauli aliyotoa mugabe kwa wa south africa. Nanukuu…….. Watu wa south africa kama mliweza kuangusha sanamu ya mzungu na kuivunja kutokanana yale mliyotendewa je mtaweza kujaribu kumpiga kofi tu mzungu aliye hai???? Mwisho wa kunukuu, kiukweli nineno dogo ila lina maana kubwa na kama ukilielewa wasouth wakalielewa nadhani watajiona wa.ji. nga sana kuuwa waafrika wenzao.

Mugabe ni kichwa sana huyu jamaa sema hatuoni sasa hivi mpaka afe ndio tutaona makala zake na sifa ambazo hazitakuwa na msaada tena.
Kweli namkubali sana huyu jamaa. Aogopi wala kuwa na hofu.

Mugabe ni Simba wa Africa!
 
Kwa Africka, tuliobaki na akili timamu ni mimi na mzee Mugabe tu bhass!
 
mimi kama mzimbabwe mugabe at 94 years tutamuchagua kua our president .He is a principled leader .sema amezungukwa nacorrupt ministers.
 
Back
Top Bottom