Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

Ye Mugabe kawafanyia nini wazimbabwe ? Tunasikia mkewe ana kazi ya kwenda shopping dubai yeye mwenyewe juzi hapa katumia mamilioni ya pesa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa huku wananchi wakiendelea kuishi maisha magumu.hana tofauti na mnyonyaji yeyote kasoro ni rangi tu.
 
South Africans will kick down a statue of dead white man, but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe."Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi mzungu yeyote aliye hai.Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwasababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe

Loading...

Hizi ndo statements tunazotaka sikia toka kwa president, hata siku zijazo tunazirudia. Sasa hapa kwetu mtu anamaliza miaka kumi bila kitu, eti munamkumbuka kwa kusema rukhsa! Ukitaka kula uliwe!
 
Hizi ndo statements tunazotaka sikia toka kwa president, hata siku zijazo tunazirudia. Sasa hapa kwetu mtu anamaliza miaka kumi bila kitu, eti munamkumbuka kwa kusema rukhsa! Ukitaka kula uliwe!

Watu hukimbia makwao huko Zimbabwe sababu hasa za kichumi.Zimbabwe ipo hohehahe kiuchumi sababu za mungu mtu Mugabe.
 
Rais wetu hajaongea chochote mbaka sasa!

Una maana huyu Simba wetu wa mabua? mbona yule huwa anajulikana kuwa hapendi vitu vya kusugua akili yake...yeye hupenda vitu vya 'misifa' kama vile Miss Tanzania, Diamond vile eeh au kuwakaribisha na kupiga picha kama vile na Bacerlona au Manchester United nakadhalika🙂
 
Ye Mugabe kawafanyia nini wazimbabwe ? Tunasikia mkewe ana kazi ya kwenda shopping dubai yeye mwenyewe juzi hapa katumia mamilioni ya pesa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa huku wananchi wakiendelea kuishi maisha magumu.hana tofauti na mnyonyaji yeyote kasoro ni rangi tu.

Kwa hilo usihangaike na Mugabe, rais wetu kafanya nini miaka kumi? hapa kwetu mbona pesa wanajichotea na kuwapa wake zao na watoto kujenga majumba na shule na vituo vya mafuta? Mbona wa TZ tunahangaika tu!
 
Watu hukimbia makwao huko Zimbabwe sababu hasa za kichumi.Zimbabwe ipo hohehahe kiuchumi sababu za mungu mtu Mugabe.

Hiyo siyo sababu! Hata Mugabe afanyeje, hawezi zuia wa Zimbabwe kwenda SA. SA ni super power ya region. Kam hiyo ni sababu kwani hii TZ rais wetu kafanya nini cha maana ili tusikimbie?
 
Wageni wengi wanafuata green pasture iliokosekana makwao sababu za kiuchumi na siasa mbovu makwao.Idadi ya wageni hasa economic migrants ni kubwa mno.Ili kupunguza tatizo ni nchi za kiafrika kuinua hali ya uchumi ktk nchi zao.Kudumisha demokrasia.na kupambana na ufisadi hasa viongozi wa kiafrika wengi wao ni matatizo.

Wengi wa wathirika wala hawana ajira rasmi. Hawa jamaa wanatafuta tu victim wa kumtolea hasira zao eti wageni wanawachukulia kazi zao. Waseme ni wageni wangapi wanafanya kazi za kusafisha au kuuza super markets............. uvivu wao na pride inawafanya wadharau kazi na biashara ndogo ndogo. Hawakuzoea viduka vya mlango mmoja au vya kuuzia toka dirishani. Sasa mgeni mgeni kaaingia na hizo biashara ndogo ndogo wanaona anatengeza pesa .......... wivu umewaingia. Most of those people are unemployable ndiyo sababu wana muda wa kufanya fujo!!

Ila serikali ya SA nayo ni ya kulaumiwa. Wazungu wanawazidi akili .................. Mpaka leo cariculum ya shule imeshindwa kuwafundisha historia ya kuwa kuna wenzao (wapigania uhuru) waliishi nje na kuna nchi kama Tanzania. Zambia n.k. zimewasaidia katika ukombozi. Ndiyo maana adui yao ni mweusi mwenzao tu na siyo mgeni mweupe wala mchina. Actually, number ya wageni wazungu, wachina na wahindi wageni inawezekana ni kubwa kuliko ya weusi lakini wao hawalioni hilo!!
 
Hiyo siyo sababu! Hata Mugabe afanyeje, hawezi zuia wa Zimbabwe kwenda SA. SA ni super power ya region. Kam hiyo ni sababu kwani hii TZ rais wetu kafanya nini cha maana ili tusikimbie?

Kilichoporomosha uchumi wa Zimbabwe ni nini?Zimbabwe iliokuwa ni breadbasket katika Africa kwanini sasa ni omba omba?Wazimbabwe kwa malaki wamekimbilia afrika kusini sababu ya njaa.ukosefu wa kazi.ajira duni na ukandamizaji wa Serikali ya Mugabe.Unasema South Africa ni super power kwanini Nigeria asiwe super power?Usione vyaelea vinaudwa.
 
Hizi ndo statements tunazotaka sikia toka kwa president, hata siku zijazo tunazirudia. Sasa hapa kwetu mtu anamaliza miaka kumi bila kitu, eti munamkumbuka kwa kusema rukhsa! Ukitaka kula uliwe!
naziona akili za viroba hizi katika ubora wake.
 
Inauma sana,wazungu wanataka kuharalisha utawala wao kwa weusi kwa imani kuwa mweusi hawez kujitawala,wa-south ni kama wafu ambao hawakumbuk historia,hao foreigner weusi walikufa sana ili wao wapate uhuru,inabd tuwatoze fees kwenye ardh yetu waliyoish huko moro
 
South Africans will kick down a statue of dead white man, but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe."Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi mzungu yeyote aliye hai.Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwasababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe

Loading...

Thats why i always like Bob..anajitambua
 
Kuna cha kujifunza kutoka kwenye vurugu hizi za Afrika Kusini. Ukiangalia wale wanaowapiga wanaowaita wageni ni vijana wasio na kazi. Sababu kubwa ni kuwa wanawachukulia kazi zao - kisingizio kizuri cha kufikirika. Hao wageni wanaoathirika wengi ni wale wanaobangaiza pia. Hawana kazi za maana, wengi wanafanya ujasiriamali wa biashara ndogo ndogo. Tuna tatizo la ajira pia hapa (kama ilivyo kwa nchi nyingi duniani) na tuna tatizo pia la wageni. Tunapaswa kujifunza kwa hili!
 
Huyu mzee namkubali

Hajawahi kumkubali Mandela

Mandela was a Coward
 
Back
Top Bottom