SEVERE MALARIA
Member
- Apr 15, 2015
- 7
- 1
ukweli mtupu!!!!!!
Watu hukimbia makwao huko Zimbabwe sababu hasa za kichumi.Zimbabwe ipo hohehahe kiuchumi sababu za mungu mtu Mugabe.
Bahati mbaya kikomo cha uraisi Tanzania ni miaka 10.Hatuwezi kupata Lee.
Sio kweli. Zimbabwe ipo chini ya vikwazo vya wazungu kwa zaidi ya miaka 20.
Hawapati mikopo
Hawawezi kuuza nje ulaya na marekani
Hawawezi kununua pia kutoka huko
Wana mnyima kupata bidhaa muhimu
World bank nayo imemuekea vikwazo. Kisa ni ardhi ..ardhi ya wazimbabwe kurejeshewa wenyewe kutoka kwa wazungu.
Wafrika watu wa ajab sana yaani hata mwafrika mwenzao nao walishiriki kumuwekea vikwazo kupitia common wealth ambayo Bob alijitoa kukataa kama nchi huru bado kwenda kuramba nyao za Elizabeth wa uingereza.
Matatizo haya yataisha tu ... bora kuwa huru kuliko kuramba makamasi ya walikutawala
Miongoni mwa watu weusi waliosahau walikotoka ni hawa wa S.A.
Ni zaidi ya wapumbavu kwani kwa kuwaua wenzao weusi kwa sababu za ajira kwenye makampuni ya wazungu ni dhaili kuwa sasa wameukubali utumwa moja kwa moja.
Kwa msauzi anayeua mwafrika mweusi alafu akamsujudia Mandela hakika amelaaniwa,daima atakuwa mtumwa kwa makaburu.
Sijui tuanze na hawa wangoni huku kwetu ili wajue na sisi matahira! maana nasikia ni ndugu zao hawa....
Kwa ubora duni wa viongozi wetu, hawastahili hata kupewa hiyo miaka 10. Ni wabovu kiasi tunawaombea hata wafe mapema ili tumjaribu mwingine.
duh na namna wa Africa walivyo wasaidia kupigania uhuru wao, Nyerere aliiweka Tanzania Mhanga kwa sababu ya ukombozi wa Southern Africa .
The south African government has been to quite for a long time
Kilichoporomosha uchumi wa Zimbabwe ni nini?Zimbabwe iliokuwa ni breadbasket katika Africa kwanini sasa ni omba omba?Wazimbabwe kwa malaki wamekimbilia afrika kusini sababu ya njaa.ukosefu wa kazi.ajira duni na ukandamizaji wa Serikali ya Mugabe.Unasema South Africa ni super power kwanini Nigeria asiwe super power?Usione vyaelea vinaudwa.
Jamani tusitafute shukrani za aina hii. Whitehouse ilijengwa na watumwa weusi, mbona hadi leo mweusi anatwangwa risasi na polisi bila sababu?
Kuwasaidia ulikuwa mpango rasmi na nchi haijakatisha uhusiano na sisi wa TZ. Tatizo ni kujidai kwenda SA bila la maana unaishia kufungua duka la kuuza mifuko ya simu Durban kama wachina wauza ndala wa kariakoo.
Huyu mzee ni genius,nakumbuka kauli moja alimjibu waziri mkuu wa Uingreza kupitia mwandishi wa habari wa BBCSouth Africans will kick down a statue of dead white man, but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe."Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi mzungu yeyote aliye hai.Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwasababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe
Loading...
Hizi sifa ulizotaja ni mbaya kabisa, ila naona zinalingana kabisa na sifa yetu hapa nyumbani na viongozi wetu: njaa, ukosefu wa ajira, ukandamizaji wa serikali ya CCM.. Ambacho sijakielewa ni je amekosea kuwabeza wa-South au? Km ndivyo unadhani wako sahihi? Kwamba adui yao mkuu ni Mwafrika mwenzao anayedunduliza badala ya mzungu aliyemnyonya tangu-na-tangu? Hopeless!!
Je ungekuwa wewe ndio mwananchi wa Afrika ya Kusini huna ajira sababu tu wageni kutoka nje wamechukua nafasi yako ya ajira utakubali?Sisemi wananchi wajichukulie sheria mikononi la hasha.Idadi ya wahamiaji tena ambao hawana makarasi ni wengi zaidi ya milioni tano.Afrika ya kusini inazidiwa na wimbi la wahamiaji haramu.Lakini kama Nchi za kiafrika zingeweka vipaumbele vya kuletea maendeleo wananchi wao,tatizo lingepungua kwa kiasi kikubwa.
Rais wetu hajaongea chochote mbaka sasa!
Sijui tuanze na hawa wangoni huku kwetu ili wajue na sisi matahira! maana nasikia ni ndugu zao hawa....