Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

Katika vongozi ninao waeshimu dunia hii ya Leo huyu mzee namba moja
 
Mimi nipo hapa Darban kinachotokea si wahamiaji Haramu kuandamwa kwani hao si shida kwao, wanaopata shida ni wale Wakimbizi ambao wengi wanalipwa na kupewa Huduma na Serikali ya Africa kusini ndiyo maana wanaweza kumiliki maduka na biashara mbalimbali na wana Reseni harali, mhamiaji haramu hawezi kupewa Reseni ya Biashara hao wengi wapo mitaani ni wauza Unga na kazi za Ndani wao huwa ni wajanja kuuawa huuawa kwa bahati mbaya kwani wenyeji wengi ni marafiki zao.

minyoo, ukisema hivyo hapo ndo unaona mwanzo wa matatizo. Naifahamu sana SA na binafsi nimeishi Cape Town. Ndo maaan nawashangaa wanaodhani kwamba serikali ya SA inaweza ikaonyesha wema sana juu ya wageni. SA ni nchi ambayo inahitaji uangalifu wa ziada kabla hujaamua kuishi hapo. Ni nchi ambayo bado mifumo yao bado inakwenda kwa makabiliano.

Polisi wa SA bado ni wale wanaowasiliana sana na makundi ya wahalifu na ukweli ni kwamba mara zote wanawasiliana sana ili kuonyesha chuki yao kwa wageni. Ukishaingia SA usitegemee kusaidiwa na polisi. Kwa uelewa wangu nikisikia mtu kaingia SA na anapata taabu za aina hiyo, naishia kulaumu maamuzi yake ya kuishi nchi ya aina hiyo. Dunia nzima, nchi za hatari zinajulikana.

Hebu Abunuas, soma maelezo ya minyoo na majibu yangu, tusijeishia ugomvi usiosaidia watu na kujidai elimu tusiyokuwa nayo.
 
South Africa is a failed state! The black youth are bunch of dickheads, all they think is meth, The black politicians are all deluded by what they think they are rulers ......the economy is still in the hands of white!
One simple fact, and it has been deeply rooted in all black DNA, just sit back and RELAX, everything is gonna just rain!!! So fucked, they don't wanna work.....*** em !!

Can you define a failed state? Let me rephrase, what is your definition of a failed state?
 
Despot Robert Karigamombe Mugabe has been crying like a baby to be allowed to visit Europe, specifically UK but the British Government has stopped this i d i o t to go there and spend Zimbabweans tax payers money on luxuries. He can mourn all he likes but the Brits has said No, now there are few of his supporters specifically here at this forum who thinks other people are not wise enough to know where they stand. That goes without saying, we have the same problem closer to home.... ... at Magogoni where slaves think they can plunder the tax payers money without being answerable. Time will tell. .... .... ... Ding dong .... .... .
 
Woreva!!..ila kwa hayo mazingira anayosema minyoo ni ngumu Sana wageni kuachwa waendelee kula Neema ya nchi....

Ila najiuliza swali , kwanini wahamiaji wametake over hizo opportunities za wasauzi.....nahisi wasauzi wanaweakness mahala flani au kuna kitu wanakikosa coz wangekuwa na sifa km za wahamiaji pengine wham aji wasinge kuchukua kazi zao at that extent....

wajipange tuu waache kuuwa waafrika wasio na hatia
 
Tumebakiza Marais wachache wenye kuipenda Africa,mmoja wapo ni Mugabe.Anawakemea bila kupepesa macho na hivi karibuni amewaambia wawekezaji kwn sekta ya madini kutoka South Africa kuwa lazima wao waendelee kupata 51% na wawekezaji wachukue 49% kwenye Madini.Pia mara moja alimkemea Obama na Camelon walipotangaza ushoga Africa,siyo Maraisi wengine wanakaa kimya,ukikaa kimya maanake umekubali
 
Robert Mugabe anawashangaa South Africans kwa kuhangaika na statue za wazungu ambao ni marehemu. Na kuwaacha walio hai. Meaning, anawataka "black South Africans to slap living white South Africans". This is a pure racism. At the same time, anapinga xenophobia kwa kuwa Zimbabweans are among the victims. It cannot be okay to discriminate against white people, and at the same time not okay to discriminate against black people. Inconsistency. It's all racism. And Mugabe is a racist for that matter. And all who praised him for what he said are equally racist.
 
"Ki-form one", meaning it's an easy question. Right? Mbona hujajibu? And you shouldn't be troubled, for the intention is not to cause you troubles. Just answer the question. And that will be it.

Get troubled not, im not gonna answer it, if you don't know what a failed state is get back to school
 
South Africans will kick down a statue of dead white man, but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe."Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi mzungu yeyote aliye hai.Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwasababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe

Loading...

Taratibu mkuu. Punguza jazba...nampenda sn babu
 
Back
Top Bottom