kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Hili jukwaa mbona Kama Limesuswa hivi.
Old Trafford sasa hivi imekua ni shamba la bibi, kila anaekuja anajipigia tu.Inategemea umefungwa na Timu gani,Uwanja upi na Magoli mangapi,ni AIBU kwa Man U kufungwa magoli 3 na Bournamouth tena Old Trafford,enzi zetu pale OT ilikuwa ni machinjio,siku hizi pamekuwa kama Uwanja wa Kuchezea Vigodoro tu
Aiseee Hii timu ni gari bovuuu la mkaaaHili jukwaa mbona Kama Limesuswa hivi.





😂😂TRIP SHAMBA, TRIP GEREJI. 😂😂😂😂😂
arsenal amefungwa away tena goli 1.Mie leo haya matokeo hata hayaniumi maana hamis77 na genge lake hawawezi kutia pua zao humu.
Bayern mwenyewe kala gongo 7 itakua United kufa 3 tu!
Ha haaaaaaIfike wakati mtu kama martial avunjiwe tu mkataba hata kibabe sasa.
Ifike wakati mtu kama martial avunjiwe tu mkataba hata kibabe sasa.
kwa hiyo hata Europa watakosa? very sadKesho mnafungashiwa virago kwa kushika mkia
Ulitukanwa Sana ulinyanyasika Sana humuIn short, as for now hatuna team ya ku compete kuchukua makombe, this season is done n dusted hata kabla ya kuanza, let's try may be in five or six years to come endapo kama Uongozi utakua na maono kama ya baadhi ya mashabiki wa humu wanao amini kwa team yenye kariba ya utd haiwezi kufanya revamp ya kikosi kwa msimu mmoja
Bado nitaendelea kuwa na mashaka na 10hag ,
Kama nilivyotilia mashaka usajili wa Anthony kwa €100m
The same story kwa huyu Hojlund ,ndio msimu wa kwanza Atalanta , ana goli 9 tu Seria A , anazidiwa magoli na kiungo mkabaji wa Atalanta Kopp ,
Hojlund kwa €85m utapeli mwingine huu, overpaid

njoo hapa
Bei ya Havertz na Højlund ni almost the same. Havertz ambaye katika misimu yote aliyocheza Chelsea hajawahi kuvuka goli 10 per season (kwenye ligi) pamoja na kuchezeshwa kama forward. Last season kaanza kwenye mechi 30 kaishia goli 7. Højlund ambaye kaanza mechi 20 ana goli 9.
Na bado unapata nguvu ya kuja kuponda humu. Kwani unafikiria kwa kutumia matope auView attachment 2702686View attachment 2702687


amrabat huyu aliyekimbizwa na Sospeter Bajana hapo Kwa mkapa?
Nalisubiri sana dili la Amrabat,bonge la kiungo,especially kama atachezeshwa na Mount,namfananisha na De jong,japo De jong ni mtu na nusu,ila sio mbaya...
Atleast Casemiro atapumua,na sometime wanaweza wakaanza wote,Case 6,amrabat 8