Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nalisubiri sana dili la Amrabat,bonge la kiungo,especially kama atachezeshwa na Mount,namfananisha na De jong,japo De jong ni mtu na nusu,ila sio mbaya...
Atleast Casemiro atapumua,na sometime wanaweza wakaanza wote,Case 6,amrabat 8
 
Case na Amrabat pivot yao itakuwa hatari sana halafu mbele yao akisimama Bruno anakuwa free kufanya mambo yake. 🔥

Yule dogo Greenwood wamrudishe aisee. Pale mbele akisimama Rashford, Hojlund, Greenwood ni magoli tu yananukia.
 
Kuna mafala wanaongea sana eti tume over spend kwa hojlund lakini hamkuongea kwa mudryk
Screenshot_20230730_110726_Twitter.jpg
 
Nalisubiri sana dili la Amrabat,bonge la kiungo,especially kama atachezeshwa na Mount,namfananisha na De jong,japo De jong ni mtu na nusu,ila sio mbaya...
Atleast Casemiro atapumua,na sometime wanaweza wakaanza wote,Case 6,amrabat 8
Amrabat siyo advanced 8 ni DM kuwachezesha pamoja na Casemiro ni kuforce tu.
 
Antony mimi simkubali jamaa muda wote anawaza kupiga ndizi tu Garnacho akikomaa atakua mtu na nusu.

Halafu kwa nini wanajivuta vuta issue ya Greenwood dogo kaonekana hana hatia ila wanajivunga bado wakati kile chuma tunakihitaji.
Wakuda hao wanawaogopa leftists na feminists

Greebwood arudi, awe ana mchallenge hojlud namba tisa pale

Huyo martial apewe loan au asepe, he aint shit anymore

Mi nakuambia huyo antony hamna kitu anaenda kufanya msimu huu, mark hii post
 
Antony mimi simkubali jamaa muda wote anawaza kupiga ndizi tu Garnacho akikomaa atakua mtu na nusu.

Halafu kwa nini wanajivuta vuta issue ya Greenwood dogo kaonekana hana hatia ila wanajivunga bado wakati kile chuma tunakihitaji.
Ila tukumbuke hata Sancho ana-struggle kwasababu hatuna RB wa maana hata mmoja kule Dortmund alikuwa anacheza na Hakimi.

Antony msimu uliopita alikuwa mchezaji muhimu sana kwetu, tatizo lake kubwa ni kwenye end product.

Mimi nasuburi kuona jinsi Antony atakavyo-develop Mount akicheza RCM.
 
Antony pia anapaswa kubadilika eneo la mwisho mtu anawaza mabao ya akina moja kwa sababu ya guu lake la shoto muda wote hawezi kutumia weak foot hata kidogo hapa ndio inafanya watu wamkumbuke Greenwood ambaye angle yoyote final third anakuua na mguu wowote
 
Hawa manyumbu tunapaswa kupractice long range lob shots maana tunajua watakuwa wanacheza na outfield players 11 na bila kipa. Tunamjua Onana ni outfielder aliyekosa namba tu na kusabibisha akae golini hivyo kama kawaida yake atakuwa anatoka golini na kuingia ndani kucheza favorite position yake ya midfield. Sisi kazi yetu ni kumtegea na kuchungulia tu afu tunapiga long range lob shots zetu.
 
🤣🤣🤣😂😂
 
Naona unaota kwa kufikiria Premier league Ni sawa na PES. "' Hivi mashabiki wa arsenal utoto mtaacha lini!
 
Back
Top Bottom