Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,351
- 2,786
Tunae, mbona arteta miaka 5 top four mara moja bado mmekomaa naeKwaio tunakubaliana Eric 7+3hang tunaishi nae?
Au ana ng'ata na kupuliza?
Tunae, mbona arteta miaka 5 top four mara moja bado mmekomaa naeKwaio tunakubaliana Eric 7+3hang tunaishi nae?
Au ana ng'ata na kupuliza?
Ana fata nyayo sa Rashford maradona wenoHuyu dogo hajifunzi kuacha uchoyo. Timu ina GD 0 badala ya kuwekeza nguvu na ushirikiano pamoja timu ishinde goli za kutosha yenyewe yanaendekeza uchoyo kule mbele
Dalot kwa nafasi ya stricker hapana hiyo nafasi inamfaa zaidi McTominay, nafasi anayoitendea haki Dalot ni RW, badala ya kumchezesha mpaka rangi Antony ni mara 1000 RW angekua anachaza Dalot ambae hana mambo mengi.Ni kama dalot mimi namuonaga ni stricker kabisaa wakucheza ata namba 9 uko
Dalot kwa nafasi ya stricker hapana hiyo nafasi inamfaa zaidi McTominay, nafasi anayoitendea haki Dalot ni RW, badala ya kumchezesha mpaka rangi Antony ni mara 1000 RW angekua anachaza Dalot ambae hana mambo mengi.
Antony tokea alivyotoka Brazil kwenye kesi yake ya kupiga wanawake amekua ni mzigo kwenye timu.
Mpira mzuri ni Mradi wa kimichezo wa Muda Mrefu wakati fulani Sir Alex alieleza ukibadilisha sana walimu unawapa Nguvu wachezaji walioko ambao wanajiona wakubwa lakini ukitizama mafanikio hayaendani na wanachokupa na kupelekea walimu fukuzwa,arteta miaka 5 top four mara moja bado mmekomaa nae
Hakuna ufisadi mkuu...biashara ni maelewAno...yule Caicedo angeenda Liver mngempenda...Chelsea ni klabu ya kuua vipajiMpira mzuri ni Mradi wa kimichezo wa Muda Mrefu wakati fulani Sir Alex alieleza ukibadilisha sana walimu unawapa Nguvu wachezaji walioko ambao wanajiona wakubwa lakini ukitizama mafanikio hayaendani na wanachokupa na kupelekea walimu fukuzwa,
ARTETA Arsenal ameitengeneza kwa taswira yake kila mtu kumpigania Mwingine na ndio maana aliweza ondoa majina makubwa yenye mishahara mikubwa lakini hakuna msaada kwenye timu {Lacca, Ozil, Auba, Pepe, kwa uchache} Bado ana safari Lakini,
Chelsea ni Mradi wa kibiashara yule TODD kumuamini POCH kutaumiza wengi
Lishazungumzwa sana humu ila kuna wachangiaji wa timu nyingine sababu ya kuendeshwa na Hisia huwa wanakuja na kuponda kinachoendelea UTD na kusifia HAKUNA, Alisifiwa ANGE, DE ZERBI, POCH, ila sababu ya UTD kuwa na wakongwe wengi ndani humu walisema ligi ni Marathon, mda huu husikiii tena kelele za "STYLE OF PLAY" nakadhalika
McTominay kapewa jukumu la "Man marking" kwa Enzo, Mwalimu Bora angegundua hilo ndani ya Dakika 30 za awali na angeshakuwa na mpango mwingine sababu Chelsea ukitizama timu zimekuwa zinajaribu punguza ubora wa kuchezesha wa Enzo kwa kumfanya asiwe huru na Mpira na kuipoteza timu nzima.
ZAIDI YA YOTE KUNA WIZI WA WAZI Asee.. 120M Kwa CAICEDO, MPAKA Sasa 100M+ Wanaotendea haki Bei zao ni JUDE na RICE. Brighton hata Leicester wana nafuu Ni zaidi ya UFISADI.
Lakini nashangaa wenzetu wamemkataa EtH wanaunga mkono harakati za hamis77 kumdondosha mwalimu.Hahahaa usiogope Jombaa tutakaa sawa tu. Sijawahi kushuhudia kocha anafanya kazi ktk mazingira yenye vita nyingi sana kuanzia waandishi wa habari, baadhi ya wachezaji na mashabiki wa timu pinzani na ndani kama Ten Hag.
Unahangaika na mtu anayejiita mchambuzi wa mechi ambazo tumefungwa...Lakini nashangaa wenzetu wamemkataa EtH wanaunga mkono harakati za hamis77 kumdondosha mwalimu.
ETH anaendeleza utapeli ndani ya manjesta
Arsenal fans watakuwa wanamkumbuka kijana wetu wakiholanzi Donyell Malen ,alikulia pale Arsenal alikuwa na kipaji kikubwa ,akarubunika na madalali kina marehemu Raiola na mwenzake Pinenta akasaini asimamiwe nao ,akaambiwa asiongeze mkataba Arsenal, wakampeleka PSV ya uholanzi, akafanya vzr Sana, wakataka kumuuza Tena Arsenal kwa £50m , Arsenal wakagoma ,
Mwisho wakamuuza BVB ,kwa €30m , amekuwa na kiwango cha kawaida Sana
Wiki iliyopita kakutana na kampuni lile lile la utapeli la ERIK 7 HAG ,linaitwa SEG ndilo lilitumika kuwaleta kina Weghorst,Hojlund , amrabat,Malacia,Anthony ,
Donyell Malen kajiunga na Hilo kampuni ,na Sasa Kuna mazungumzo aende manjesta kwa £25m au wafanye Swap deal na Jodan Sancho
Tayari SEG wanapambana kuhakikisha manjesta inatapeliwa Tena na ETH anapata mgao wake
Kampuni la SEG Ni linasimamiwa na mtoto wa ETH, pia linamsimamia ETH ,na wachezaji unaowaona wengi wanakuja manjesta kupitia ETHView attachment 2836411
Kwa Hiyo huu msimu ni either tukufunge ama utufunge No draw😅
Mbona ipo wazi anabahatisha ndio maana hawez kuzifunga timu za top 10