Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
Hapo hela imekuwa spent kwa wachezaji 6 tu10hag akimsajili amrabati na Hojlund atakuwa ametumia karibu €500m ndani ya muda mfupi, Hawa ndio wachezaji aliosajili
Unajifunza niniView attachment 2702379
Weghorst aliyekuwa kwa mkopo wa muda mfupi sio wa kumuhesabu kwa sababu hayupo tena.
Evans nae yupo kwa muda mfupi tu free agent
Eriksen naye ni free agent
Labda hapo kwa Weghorst awekwe Hojlund awe wa 7 na tukiongeza beki awekwe kwa Evans ambaye sidhani kama yupo kwa plans anaweza vp kucheza mbele ya Varane na Lindelof?