Eric Ten hag ni kocha mzuri ila ataangushwa na wachezaji anaowasajili asipokuwa makini pmj na wale aliowakuta
Km kocha anapenda kazi yake hawa waondoke sio wachezaji wa kuanza
Macktonmy
Amrabat
Antony
Martial
Pelstri
Casemiro energy imekata
Ericksen ni mgonjwa
Varane gari ya mkaa
Kikukweli wachezaji wa uhakika manchester angalau wanaonyesha uhai ni
Bruno
Dalot
Shaw
Bisaka
Hojlund
Gernacho
Na magumire kwa mbali
Kocha angemuacha degea akashughulikia kupata DM wa uhakika msimu huu lkn hakutoa kipaumbelea kwa kiungo mkabaji kunanipa wasiwasi
Ukipita kwenye platform za manchester united,mashabiki wanamuamini sana Eric ila asijisahau
Manchester united sio arsenal au liverpool
Manchester united ni km madrid kocha hawezi kupewa zaidi ya misimu mitatu bila kuleta postive impact kwenye timu
Naamini kocha analijua hilo
Nimeumia sana leo wachezaji wanacheza km vile hawajafanya mazoezi kwa wiki mzima