Hamshindi hii game. Na mnapigwa sio chini ya goal 3 hapo hapo home kwenu. Tunza hii postkikosi Cha bwenyenye glazer ichi hapa barobaro boys tunawaleta Tena leo watachapwa sana wale.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
My prediction
Manchester United 3 vs Bayern Munich 1
GGMU [emoji3590]
ni raha tupu wakubwa [emoji16]View attachment 2840845
😂😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] amrabat huyu aliyekimbizwa na Sospeter Bajana hapo Kwa mkapa?
[emoji2][emoji2][emoji2]eti bwanyenye glazzer Manchester tatizo letu midomo sanakikosi Cha bwenyenye glazer ichi hapa barobaro boys tunawaleta Tena leo watachapwa sana wale.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
My prediction
Manchester United 3 vs Bayern Munich 1
GGMU [emoji3590]
ni raha tupu wakubwa [emoji16]View attachment 2840845
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyumbu kama nyumbukikosi Cha bwenyenye glazer ichi hapa barobaro boys tunawaleta Tena leo watachapwa sana wale.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
My prediction
Manchester United 3 vs Bayern Munich 1
GGMU [emoji3590]
ni raha tupu wakubwa [emoji16]View attachment 2840845
J2 ndio kilio na maombolezo pale uwanja wetu wa machinjio anfieldwatakufa kwa presha msimu huu,mashabiki wa unyumbuni
ukiwakuta mtaani wanatia huruma kinoma,hawana raha,
wakiingia mtandaoni ndo balaa
Ali pipi yeye huwa anabashiri nyumbu kushinda 3-1 karibia kila game. Leo wana bahati Bayern hana cha kupoteza ila wale wahuni wa kijerumani nao huwa hawaeleweki. Wazee wa kuua mende kwa nyundo wale. Tuombe Galatasaray na Copenhagen mshindi apatikane ili manyumbu wakishinda leo basi waende Europa. Dream result ni Bayern ashinde ambapo nyumbu atafungashiwa virago arudi matofalini wakasubirie kipigo cha livakuku[emoji2][emoji2][emoji2]eti bwanyenye glazzer Manchester tatizo letu midomo sana
Siyo antisemitism. Sema exorcists tumekuja kufukuza shetani ndani ya group A.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hili jukwaa naona limevamiwa na anti-Semitism.
Hawa wajerumani sijui wana tamaa ya hela. Kuna €2.8m kwa kila group game ukishinda. Plus wanataka kuload win rate yao ili wazidi kuonekana kuwa stats za kushinda ziko juu kwa ajili ya data za kuwapa wafadhili wapya na kuwapa nguvu katika mazungumzo ya dili mpya.Kuna team zinapenda sifa ,Bayern points 13 anayefuata point 5 na anacheza na mwenye points 4 Bado kamwekea utd full mziki ,kuanzia Kane hadi Neuer ,Sasa tunawaomba utd mkishindwa kuwafunga wavunjeni TU maana ni Roho mbaya kbsa.
🤣🤣🤣 kumbuka conte naye alikuwa anavaa kiwigi, toupee. Hivyo wote ni vipara sema mmoja ananyoa nywele za pembeni ili awe kipara fully na mwingine anatupia tu ki toupee kwa juu.Hadithi ya kipara na mwanawe mctominay sijui itaisha lini.
Kipara ni CONTE asiye na nywele.