EtH apambane tu na mwanaye. €100m nyingi sana akiomba tena pesa ya RW atalambwa makofi kweli. [emoji23]
Wa kumuokoa ni Greenwood tu. Ila huenda Antony akifika 25 ata-improve.
Shida nawaza nijinsi gani mashabiki watakavompokea
Hapa kuna categories kama 3
True (real) fans
Casual fans
Plastic fans
Hawa bana ndio nguzo kuu ya timu...why
Uongozi unaskiliza upepo wa mashabiki ambao upo gradually revolving toward acceptance ya mchezaji ndani ya timu ni hivi tunaona Greenwood anafanya sana mazoez hii kwao viongoz wanatumia kama bait kunasa overall review ya mashabiki wanaonaje uwepo wakijana ndani ya team yao..ambapo kama review zikiwa positive basi hata brand kama adidas wata kuwa convinced kweny kufanya majidilano ya kum recruit tena kijana ndani yakikosi
Shida ni nn...hawa FANS sasa
1 real fans wana kila sababu ya kumpokea kijana regardless na decision zilizotolewa na court on how dogo ame being proven innocent bas anahaki ya kurejea na wao wana kila sababu za kum guard agaist casual fans na plasti fans
2 casual fans.. Mashabiki wapo hawapo hawa wengi ujifucha ndani ya kivuli cha ushabiki wa timu flani kumbe sio team yake ni nyengine plus plastic fans wao wanaonaga makosa zaidi ya maendeleo ya timu ...utakuta tu wanasema team yangu nayo ijua haiwez mrudisha mbakaji yani hata bila kujua kuwa dogo kasha being proven innocent wao wanakandia tu bila sababu za msingi wengi wao huendeshwa na mihemko hisia na arrogance na njaa
Hawa watakuwa wana play key role ya kumpa dogo confidence au kumpunguza juu ya uchezaji wake na uimarikaji wake waki michezo ndani n a njee ya uwanja
Hawa hawa ndio baadhi yao watakao kuwa wanamzomea na kumkejeli kwakumuita rapist akiwa ndani ya uwanja...
Jee kijana ataweza ku overcome hizi situation jee ataweza kuwa matured enough tu conquer hizi scenario ambazo kwa aina moja au nyengine zina weza ku atter performance yake ndani na njee ya uwanja
Lastly sisi kama mashabiki kwakua mahakama imemtambua kijana Greenwood yuko hana hatia basi hatuna budi kumpokea kamanda wetu kwa mikono miwili kwani hatujui kiwango chake kama kipo the same au kime shuka...hii itamsaidia kupush his competence and hardwork resource plus performance to the outmost best next level... Tunamtegemea aje kutoa challenge kwa vijana wengine pale mbele more important aje awe a starter not a bench warmer
Welcome back MASON GREENWOOD 9