Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Halafu huyu Man Utd wakifanya mchezo na the Chosen One ataifanya Old Trafford kuwa sehemu ya makumbusho.

Old Trafford may end up becoming an historical place to visit.


Kuna window ndogo sasa hivi inayoruhusu kumtoa Moyes na kuleta kocha mwingine ambaye anaweza kurudisha Champion League msimu ujao na kuchallenge for the league misimu miwili ijayo. Lakini kwa muonekano wa juu juu ni kwamba Moyes atabaki angalau msimu mmoja mwingine, athari ya kumbakisha mpaka mbali kote huko itakuwa kubwa sana na itasababisha recovery time ya United kuwa ndefu zaidi.
 
Moyes ndo kocha bora na ataifikisha,man utd mbali
 

Attachments

  • 1395803884199.jpg
    1395803884199.jpg
    25.8 KB · Views: 104
hajui kama mbinu,mfumo aina ya wachezaji na kutopangwa mara kwa mara vyote vinamuangusha kutofika kwenye peak yake.

Hana lolote toka aje Man Utd kafunga na kutoa Assist ngapi? Mpira wa Man Utd umemshinda tu kashindwa kabisa kucheza visingizio vya kupangwa pembeni havina mashiko mbona Mata anapangwa pembeni na anaonesha uhai kwenye timu?
 
This loss was a conspiracy to have the cup remain in MANCHESTER!!!!!!!

Mnatakiwa mumlaumu Morinyo kwanini yeye aliamua kupaki bus Old Trafford wakati wenzake City,Liverpool na Everton tumewapa point 3 za chee
 
Frankly inasikitisha sana...kuwa shabiki wa United kwa kipindi hiki. YNWA!!!
 
Hana lolote toka aje Man Utd kafunga na kutoa Assist ngapi? Mpira wa Man Utd umemshinda tu kashindwa kabisa kucheza visingizio vya kupangwa pembeni havina mashiko mbona Mata anapangwa pembeni na anaonesha uhai kwenye timu?
ndugu yangu unaangalia mpira kweli?? mata mara zoye huwa anapangwa pembeni lakini hamna hata siku moja mbayo anacheza pembeni huko unakomzungumzia hata mechi ya jana yenyewe alipangwa pembeni baadae akaswitch position na cleverley na mara zote huwa anaswitch position na mtu mwingine akipangwa pembeni,
kagawa unamlaumu bure anakaaa nje mechi 7 ya sita anapangwa unategemea ataperform vipi na hapangwi katika namba yake najua namba yake ya aili ni kumi ila as long as kumi man u ziemjaa hata ukimpanga nane bado ataperform hajatendewa haki tu kupangwa katika dimba la kati.
 
my braza moskwito, hehehe. hii uliiandika kabla ya kile kichapo tulichowaadhiri nacho cha sita bila?

nakusalimia tu Mbu, mapendo daima
you only die six times:rip::rip::rip::rip::rip::rip:
.....Job Well done,
Congratulations #Watani ...
Phewww, mngetolewa sijui hawa Chelsea kina King'asti wangetutambiaje mwaka huu...

Haya, natusubirie Draw ya Ijumaa mtapangiwa kifo cha aina gani tu yarabi...


#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Tupo kwenye kpindi cha mpito tuvumilie jamani.

Nikisikia neno MPITO/TRANSITION PERIOD linatamkwa na shabiki wa Man U najawa na povu vibaya maana nahisi ni David Moyes mwenyewe kaja JF sema anatumia fake ID...
Samahani mkuu bily kama ntakua nimekukera ila justifications za "kipindi cha mpito" kwangu mi zinagoma kabisa kuingia akilini

kama unafuatilia soka vizuri kila mtu anajua kwamba tupo katika kipindi cha mpito na tulitegemea kushuka perfomance na matokeo but sio katika extent hii msimu mmoja kupoteza mechi kumi tena mechi sita ndani ya old trafford.
Its unimaginable

Hivi mkuu huo mpito tunaopita ni kutoka wapi kuelekea wapi...from what I see tulipoanza league tulikua bad ila naona sasa tunaitafuta worse..
Wakuu hakuna jipya zaidi ya Moyes kuendelea kuset record mpya..tunakoelekea hata hiyo eufa ndogo itabiki ndoto tu "God forbid "
Ila Moyes...!!! Basi tu...
 
Last edited by a moderator:
mimi ni mmoja wa waliokuwa wanaamini MOYES atatufaa. kwa kweli nilikuwa naive.Moyes has no clue.Hafai jana alithibitisha kuwa hawezi kufanya chochote ili mchezo ubadilike hebu soma hii

In 13 matches against teams in the top nine of the Premier League, United have managed just one victory and accumulated seven points. It is beyond pathetic

Moyes' side have now scored just one goal in five home fixtures against the top five this season.


United will get back to their previous levels one day - but Moyes is not the man to take them there
 
Moyes anasema kamtoa cleverley kwa sababu alikuwamajeruhi ila to be honest sidhani kama aliumia nahisi ni kwa sababu alikuwa mbovu sasa hii nidhamu ya uoga ya kutaka kuwaplease wachezaji ya kazi gani kwanini usiwe na msimao kwenye maamuzi unayoyafanya ???

Beckham aliposhindwa kufata maelekezo ya Fergie alikiona cha mtema kuni..alibamizwa kiatu cha usoni nafikiri hatasahau maishani mwake and this set a precedent who is a BOSS of the team...
Manager wa timu hayupo pale kumfundisha cleaverly kupiga pass bali ni kumpa majukumu ya kupiga pass na kuipiga kwa malego na mwisho wa siku kumfanya huyo cleaverly ayapokee majukumu anayopewa na manager na kuyafanyia kazi by any cost...ukiona wachezaji wanashindwa kuyafata na kuyaheshimu maelekezo ya manager then that is not the right person for the job.
#moyesout
 
Nilipomwona T Cleverly nikajua tumekwisha,bao la kwanza nikazima tv nikaenda kujilalia asubuhi nikauta 3 nikajisemea bora sikukesha.
 
Back
Top Bottom