Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
Nasikia mngurumo tuu wa engine ila bado bango sijaliona
ishapita mkuu hujaiona mbona wameonyesha au wewe upo live kiwanjjani?? Maana mpk unasikia mngurumo!!
Nasikia mngurumo tuu wa engine ila bado bango sijaliona
In one part of my heart naombea mechi ya leo tufungwe it means a lot to us.
Maombi yako yanafanyiwa kazi AVL 1 : 0 MUN dk 12
WTF ref?!?
Daah jamaa wanabebwa kinyama yaniiii