Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wagiriki walikuwa vibonde tangu mwanzoni hamkutakiwa mtolewe kamasi hivi... 1/4 ndo mwisho wenu na wa darajani.
 
Glory Glrory Man Uniteeeed!
Glory Glrory Man Uniteeeed!
Glory Glrory Man Uniteeeed!
As United goes marching on on!
 
Welcome back to normal service at West Ham jmosi.. Moyes atarudia dozi zake za anti-anxiety na kumuona Shrink ijumaa.
 
.....Job Well done,
Congratulations #Watani ...
Phewww, mngetolewa sijui hawa Chelsea kina King'asti wangetutambiaje mwaka huu...

Haya, natusubirie Draw ya Ijumaa mtapangiwa kifo cha aina gani tu yarabi...


#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
rubaman

Ijumaa usisahau kuangalia draw ya CL uone "wanaoujua" mpira Europe wakipangiwa timu zakucheza nazo

{Msimu ujao Utd lazima watacheza CL}
 
Last edited by a moderator:
Man ilioanza mchezo kwa kasi ikionekana na hesabu zake za kutaka ushindi wa magoli ma3 ili iweze kusonga mbele kwenye michuano ya mabingwa wa ulaya.Imefanikiwa kusonga mbele na ushindi wa 3 bila.Ambapo magor yote ma 3 yamefunga na van persie.Ushindi huo ulishatabiriwa mapema na kocha wao Moyes.Baada ya kuvuna matokeo mabaya toka kwa liverpool aliwasititiza wachezaj wake kucheza kwa hali na mali ili kurudisha iman ya mashabiki kwa man u.kipa wa man u pia alifanya kazi ya ziada kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwa kuokoa michomo mbali mbal langon mwao.BIG UP FANS WA MAN UTD KWA USHINDI MUHIMU
 
Back
Top Bottom