Kocha anaacha kuingiza wachezaji wenye speed anaingiza wajinga kama kagawa
kagawa sio mjinga mkuu mtake radhi.
Rafiki yangu Nzi, bado anamtetea Moyes
Hahaha! Yaani mkuu nimeona kama vile kanitusi mimi !
Pole mkuuDah to be honest hili goli la tatu limeniuma sana,basi tu sina la kufanya.
Hamna mtu mbishi kama mimi ikija kwenye kukubali mapungufu ya United. Lakini hata mimi nina limit yangu na leo nimeivuka. United needs an intervention.
Tupo kwenye kpindi cha mpito tuvumilie jamani.