Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nikisikia neno MPITO/TRANSITION PERIOD linatamkwa na shabiki wa Man U najawa na povu vibaya maana nahisi ni David Moyes mwenyewe kaja JF sema anatumia fake ID...
Samahani mkuu bily kama ntakua nimekukera ila justifications za "kipindi cha mpito" kwangu mi zinagoma kabisa kuingia akilini

Hivi mkuu huo mpito tunaopita ni kutoka wapi kuelekea wapi...from what I see tulipoanza league tulikua bad ila naona sasa tunaitafuta worse..
Wakuu hakuna jipya zaidi ya Moyes kuendelea kuset record mpya..tunakoelekea hata hiyo eufa ndogo itabiki ndoto tu "God forbid "
Ila Moyes...!!! Basi tu...

Beckham aliposhindwa kufata maelekezo ya Fergie alikiona cha mtema kuni..alibamizwa kiatu cha usoni nafikiri hatasahau maishani mwake and this set a precedent who is a BOSS of the team...
Manager wa timu hayupo pale kumfundisha cleaverly kupiga pass bali ni kumpa majukumu ya kupiga pass na kuipiga kwa malego na mwisho wa siku kumfanya huyo cleaverly ayapokee majukumu anayopewa na manager na kuyafanyia kazi by any cost...ukiona wachezaji wanashindwa kuyafata na kuyaheshimu maelekezo ya manager then that is not the right person for the job.
#moyesout

ofcourse si msupport moyes tokea kitambo na kidogo nashukuru tunavyofungwa coz ndo possibility ya kuiondoka inakuw kubwa kuliko tukishinda,
sometimes sio swala la mchezaji kushindwa kufuata maagizo ya kcha ni uwezo kuwa mdogo huwezi kumlaumu mtu kama cleverley ama smalling kucheza chini ya kiwango ni uwezowao mdogo tu so kama kocha inakupasa ujue kwamba mchezaji fulani uwezo wake ni mdogo hawezi kuendana na mbinu zangu nimuuze nimtafute mwingine hayo moyes hayaoni unaweza ukacheza vibaya na still akawa anakupanga,
 
mimi ni mmoja wa waliokuwa wanaamini MOYES atatufaa. kwa kweli nilikuwa naive.Moyes has no clue.Hafai jana alithibitisha kuwa hawezi kufanya chochote ili mchezo ubadilike hebu soma hii

In 13 matches against teams in the top nine of the Premier League, United have managed just one victory and accumulated seven points. It is beyond pathetic

Moyes' side have now scored just one goal in five home fixtures against the top five this season.

United will get back to their previous levels one day - but Moyes is not the man to take them there
not to mention rekodi lukuki alizovunja kweli sikio la kufa halisikii dawa.
 
mechi na man city alimchezesha manywele nyuma ya Rooney ile bamba ya manywele alipokuwa Everton yaan mbinu za ki Everton analeta man pale ndo nilipojua jamaa hatufai
 
goal.com kweny ukurasa wao wa fb wamepost maelezo hayo na picha hiyo kama mnavyoiona lets hope ni habari njema sana kwa mafans wa man u binafsi naomba sana iwe ni habari ya moyes kutimuliwa
SNAG-14032700384900.png
kwa wasiiona picha vizuri maelezo yanasomeka ` Big Manchester United update coming later this evening..`.
 
goal.com kweny ukurasa wao wa fb wamepost maelezo hayo na picha hiyo kama mnavyoiona lets hope ni habari njema sana kwa mafans wa man u binafsi naomba sana iwe ni habari ya moyes kutimuliwa
View attachment 147357
kwa wasiiona picha vizuri maelezo yanasomeka ` Big Manchester United update coming later this evening..`.

Kaka fingers closed naomaba wishes zangu ziwe kweli #moyesout
 
Kaka fingers closed naomaba wishes zangu ziwe kweli #moyesout

so far kuna update mbili kunaya uongozi wa manu wanafikiria kumfukuza moyes na kumtafuta mbadala wake link hii hapa Manchester United considering Moyes replacements? - Goal.com

na pia kuna tetesi arab funded project wakishirikiana na wakongwe wa zamani wa man u wakiwemo nevvile brother,giggs,scholes na butt wanataka kuinunua man u link hii hapa Football Transfer News, rumors and gossip - Goal.com

lakini pia exclusive nyingine iliyotokea muda si mrefu sana ni kwamba man u fans waaandaa protest ya kumpinga na kushinikiza moyes aondoke link hii hapa Manchester United fans plan fly-past protest against Moyes - Goal.com
 
so far kuna update mbili kunaya uongozi wa manu wanafikiria kumfukuza moyes na kumtafuta mbadala wake link hii hapa Manchester United considering Moyes replacements? - Goal.com

na pia kuna tetesi arab funded project wakishirikiana na wakongwe wa zamani wa man u wakiwemo nevvile brother,giggs,scholes na butt wanataka kuinunua man u link hii hapa Football Transfer News, rumors and gossip - Goal.com

lakini pia exclusive nyingine iliyotokea muda si mrefu sana ni kwamba man u fans waaandaa protest ya kumpinga na kushinikiza moyes aondoke link hii hapa Manchester United fans plan fly-past protest against
Moyes - Goal.com

Yawe ya kweli yote......
Amen
 
Mbona mnakuwa sio wavumilivu nahiki kijipindi cha mpito.

Kuweni wavumilivu wajamen kama liver pool.

Mambo yatakaa sawa tuu mda ukifika.ukishuka sana mteremko kumbuka mlima upo karibu so jiandae kupanda mlima.

Mmecheka sana man u huu ni mda wenu wa kufuta machozi kidogo
 
Kabisa mkuu. They should take a lesson from Liverpool
 
mashabiki wa MAN UTD wanapanga kukodisha ndege itakayokuwa inapita juu ya OLD TRAFFORD siku ya jumamosi timu ikiwa inacheza na ASTON VILLA. ndege hio itakuwa na BANNER INAYOSEMA "WRONG ONE. MOYES OUT.
 
i can't wait to see it.
 
Vipi More - Yes Hajafukuzwa tu? Au mpaka Benteke afanye kazi kesho??!
 
Habari njema.

mashabiki wa MAN UTD wanapanga kukodisha ndege itakayokuwa inapita juu ya OLD TRAFFORD siku ya jumamosi timu ikiwa inacheza na ASTON VILLA. ndege hio itakuwa na BANNER INAYOSEMA "WRONG ONE. MOYES OUT.
 
Habari njema.

huyu MOYES watamfukuza bila kupenda....fans washaanza ku revolt,ile banner ya CHOSEN ONE ililindwa na match stewards hadi washabiki walipoondoka kwa sababu walikuwa wanataka KUICHANA,pia baadhi ya washabiki VERBALLY ABUSED SIR ALEX at OLD TRAFFORD kwa sababu yeye ndio kamchagua MOYES......nguvu ya washabiki huwezi kuizuia soon wataanza KUCHANA SEASON TICKETS.
 
Starting XI: De Gea, Rafael, Jones, Vidic, Buttner, Young, Fellaini, Fletcher, Kagawa, Mata, Rooney
 
Back
Top Bottom