Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,490
- 235,156
Hivi UEFA mliendaje Nkamu[emoji23]Japo hata tukipita hatuendi popote ila ni kulinda tu heshima
Hivi UEFA mliendaje Nkamu[emoji23]Japo hata tukipita hatuendi popote ila ni kulinda tu heshima
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kipa kama ana daka panzi ata Dodoma jiji hapati No uyu
Msimu huu tuwafunge ngapi?Daaahhh we acha tu.
Yaani hiyo mechi ya pale Anfield kila nikiifikiria natamani nistaafu kwanza kwa muda kushabikia mpira mpaka mwakani.
Hii timu yetu ikianza kufungwa kurudisha goli hua ni shida na ikianza kufunga kushikilia bomba pia ni shida.
Hili timu litakuja kutuua kmmmmmae.
Yaani kuanzia mmiliki, management, kocha na wachezaji wote wanatakiwa wapelekwe Gaza wakafundishwe uzalendo wa kweli na wale vijana machachari wa Hamas.
😅De gea De gea De geaHivi UEFA mliendaje Nkamu[emoji23]
900 itapendeza.Msimu huu tuwafunge ngapi?
Chagua mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Si mlimuona mwehu[emoji28]De gea De gea De gea
10Hag itapendeza [emoji23]900 itapendeza.
😅😅😅Ila bora wetu hana mikono kuliko yule anayelose concentrationSi mlimuona mwehu
Subiri sasa Onana awaonyeshe kazi[emoji23]View attachment 2830625
Jamaa mwehu sana[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]Ila bora wetu hana mikono kuliko yule anayelose concentration
😅Muda utaongea tuuJamaa mwehu sana[emoji23]
Eti ataimba huo wimbo kila siku,hawezi kamia dakika90
Lakini wenzenu arsenyani wapo kileleni hata kama ni kimchongo
United hatuna shida yoyote, tumewahi kuwaomba chumvi
Umepanick kaka, kunywa maji ushushie machungu na maumivuNawatangazia kuanzia leo wenye mamlaka ya kuwacheka Manchester United kwenye kombe la UCL ni Liverpool, Chelsea, Nottingham forest,Aston villa na Man City basi sababu hao wanahodhi UCL lkn uchafu mwingine they are not eligible at all, hanis77 you are among of them
Ivi ratiba EPL leo ikoje