Paz3i
JF-Expert Member
- Oct 11, 2014
- 1,040
- 1,529
[emoji2956] asenyo ni azam ya ulayaTunawa zoom tuView attachment 2831432
[emoji2956] asenyo ni azam ya ulayaTunawa zoom tuView attachment 2831432
Nina uhakika 100% Arsenal hambebi EPL. In the long run Arteta ni kilaza tu.Tunawa zoom tuView attachment 2831432
Punguza makasiriko. Hapa unyumbuni c umeshafunga vilago vyako mzeeNina uhakika 100% Arsenal hambebi EPL. In the long run Arteta ni kilaza tu.
Nafurahi kuona Arsenyani wakiteseka tu.Punguza makasiriko. Hapa unyumbuni c umeshafunga vilago vyako mzee
Basi unamiaka 7 mbele ya kukosa furahaNafurahi kuona Arsenyani wakiteseka tu.
Ni ngumu sana kushinda. Na mchawi wetu mkubwa ni ETH. Newcastle wanakimbiza sana haitakiwi kwa njia yoyote mvivu Martial acheze hii mechi tena anaanza!. Forward mvivu hawezi kumbana kipa asichezee mpira jinga kabisa hili.kikosi Cha bwanyenye glazer kinashuka leo ni sisi au wao pata chimbika bila jembe leo.
Aaaaaah ni raha tupu wakubwa [emoji16][emoji16] jinsi venye barobaro boys wanaenda kutupa burudani moto moto.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
my prediction
Newcastle 1 VS Manchester United 3View attachment 2831722
Ivi mwarabu atapewa kweli hii timu
Ukimwekea Gordon Lindelof risk ni kubwa sana mkuu, pamoja na ubovu naona abaki tu kumpunguza Gordon kidogo asitembee sana.1st half Man of the Match, MAGUIRE hili jamaa linakaba bana.
Wan Bissaka mbovu sana leo. Toa Bissaka weka beki mtulivu mwenye akili kunwa LINDELOF.
Toa Masho weka Hujlund toa Rashford weka Anthony. Kushoto Garnacho kulia Anthony hapa tutawapiga counter attack za hatari.