Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,836
- 8,550
Mama utd atashika mkia kwenye hili Kundi, Muda haudanganyi
We ni Shabiki wa Timu gan mkuu ?Acha maneno yako mengi b… hakuna anayestahili kuishia makundi ila wasio bora pekee.
Wenzenu tunawaza knock out stage saa hizi! Kuimba kupokezana…
Ila pole b…
Ni Gunners huyo, hutu tumisimu twao tuwili ndivyo wanatusumbua navyo hapa.We ni Shabiki wa Timu gan mkuu ?
Arsenal nayo Timu basi, Arsenal ni Blackpool IliyochangamkaNi Gunners huyo, hutu tumisimu twao tuwili ndivyo wanatusumbua navyo hapa.
Ova
Ngojeni tuchukue hizo ndoo zote ndipo tutaheshimiana b…Ni Gunners huyo, hutu tumisimu twao tuwili ndivyo wanatusumbua navyo hapa.
Ova
Dah! Umesema kweli Mkuu. Ila wenyewe hawaelewi, wanasahau kama form ni kitu cha muda fulani tu, siyo cha kudumu.Arsenal nayo Timu basi, Arsenal ni Blackpool Iliyochangamka
Nyie tokea 2013 ni lini mmewahi kurudi ktk form? Tena hapo ulikuwa ndio uzoefu wa Fergie ulikoishia mkachukua kombe kimasihara.Dah! Umesema kweli Mkuu. Ila wenyewe hawaelewi, wanasahau kama form ni kitu cha muda fulani tu, siyo cha kudumu.
Ova
B... tuache, maana utakuwa mwekundu sasa hivi. LolNyie tokea 2013 ni lini mmewahi kurudi ktk form? Tena hapo ulikuwa ndio uzoefu wa Fergie ulikoishia mkachukua kombe kimasihara.
Sasa hivi tunaongelea miaka 10, sio kitu cha kudumu hicho?
Huna hoja bwana b… nimekushika pabaya.B... tuache, maana utakuwa mwekundu sasa hivi. Lol
Ova
Ikifika Mechi ya 31 tu tutaanza kuheshimiana humu jukwaani maana Pumba na mchele vitakuwa vimejitenga,Dah! Umesema kweli Mkuu. Ila wenyewe hawaelewi, wanasahau kama form ni kitu cha muda fulani tu, siyo cha kudumu.
Ova
Wewe ni wa kigoma?Ni Gunners huyo, hutu tumisimu twao tuwili ndivyo wanatusumbua navyo hapa.
Ova
Hapana Mkuu, mimi natokea Nyanda za Juu Kusini.Wewe ni wa kigoma?
Ngojeni tuchukue hizo ndoo zote ndipo tutaheshimiana b…
Kumbe kuna watu hawajui hiyo dhihaka ya kuandika hivyo b…?Hapana Mkuu, mimi natokea Nyanda za Juu Kusini.
Ova
Unapakuliwa sio?Eti Kobe mauno na Garimacho
Unafanya napaliwa had chakula
Nilishangaa, ila nikaona acha tu nijibu labda wako wengi wanaotaka kujua.Kumbe kuna watu hawajui hiyo dhihaka ya kuandika hivyo b…?
Nilishangaa imekuwaje hadi ukajibu hivi…
Timu za London ni arsenal pekee yenye anniversary ya miaka 120+ haina kombe la heshimaEti Kobe mauno na Garimacho
Unafanya napaliwa had chakula

upo wewe hanisi?Mtu unajitambua kweli unakuja kwenye group la wanaume wenye mikonga iliyosimama imara unajitapa shabiki wa arsenal kweli? Harafu unazungumzia UCL ambayo kwako ni anasa? Arsenal Ina mashabiki vilaza sana aiseeEti Kobe mauno na Garimacho
Unafanya napaliwa had chakula




