Wakina etuglu wanaharibu furaha za watuGalatasaray msiniangushe wanangu
Hii mechi yeyote tu anashinda hapaWakina etuglu wanaharibu furaha za watu
Hata wakishinda leo bado wana kibarua kizito na Bayern. Wakishinda leo wakifungwa mechi ya mwisho: Galatasaray na Copenhagen wataamua nyumbu aende wapi.Aise fanyeni miujiza red devils
UCHOKO huu
Ziyeeeeech , nyumbu mnabemendwa Tu kupelekewa moto na wanaume wa kiturukiBrunoooooooView attachment 2828971