D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Tuleteeni mvuta sigara SARRI au mzee wa kuchuchumaa BIELSA watufundishe mpira japo kwa mwezi mmoja.
Waswahili bana kwa ujuajiujuaji1st half Man of the Match, MAGUIRE hili jamaa linakaba bana.
Wan Bissaka mbovu sana leo. Toa Bissaka weka beki mtulivu mwenye akili kunwa LINDELOF.
Toa Masho weka Hujlund toa Rashford weka Anthony. Kushoto Garnacho kulia Anthony hapa tutawapiga counter attack za hatari.
Man u mbovu kinyamaTunastahili kufungwa kwa mpira huu mbovu kupindukia.
Kumbe ujuajiujuaji wako una tija. Naona Rashford na Masho wametolewa nakuwekwa Hujlund na antony1st half Man of the Match, MAGUIRE hili jamaa linakaba bana.
Wan Bissaka mbovu sana leo. Toa Bissaka weka beki mtulivu mwenye akili kunwa LINDELOF.
Toa Masho weka Hujlund toa Rashford weka Anthony. Kushoto Garnacho kulia Anthony hapa tutawapiga counter attack za hatari.
Taarifa zenu zinavuja Sana hata za injuries,yupo jamaa mmoja anavujisha Sana ,Hadi man u walimpiga marufuku ,Lakini bado ,halafu yupo accurate [emoji817]Kwa nini habari za manchester united zinavuja sana?
Kwa mfano tokea jioni ya leo zilishazuka tetesi za luke shaw kucheza LCB.
Jambo ambalo kwa timu nyengine ni nadra kupata taarifa zao za ndani, au labda ni mimi si mfuatiliaji wa mambo ya timu nyengine.
Labda
Wewe huna msimamo ,unahamahamaNina uhakika 100% Arsenal hambebi EPL. In the long run Arteta ni kilaza tu.
Kashatoka nje hukoKutoka mwaka 2021 hadi leo hii, antony martial ameshawahi kucheza dakika 90?