Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manundu Fc kama kawaida yenu , hii mechi ni kuwakumbusha kwamba ninyi ni vibonde fc
Maana mshaanza kidomo domo Chenu baada ya kushinda mechi mbili hizo kama asenyeto walivyo na midomo sasa hivi
 
Naziombea ushindi timu zote: Galatasaray na Manchester United kwenye mechi zao za mwisho za makundi.

HAHAHAHAHAHAHAH!!!!!
 
Daah Yan zile zote pellistri anapaisha na kujikwaa kwaa, ndo pale unabwatuka tu angekuwa hata Messi yule wa 19 years zile walizokosa zote kamba tu...yule martial naye alitaka afanye Nini sijui, binafsi UTD ukiipelekea moto kidogo tu unawafunga kama kipa ukimlengeshea vizuri unamtoboa zote hahahah...
 
Nyie jamaa tafuteni kipa aisee

Huyu jasusi atakuja kuwaua kwa presha
20231129_224934.jpg
 
Mkuu tafuteni kipa...nawasihi sana tafuteni kipa mapema...nikifikiria ugomvi wenu wa jadi mlio nao na Liverkuku napata mawazo sana siku mtakapowatembelea pale Anfiled na hyu kipa wenu
Daaahhh we acha tu.
Yaani hiyo mechi ya pale Anfield kila nikiifikiria natamani nistaafu kwanza kwa muda kushabikia mpira mpaka mwakani.
Hii timu yetu ikianza kufungwa kurudisha goli hua ni shida na ikianza kufunga kushikilia bomba pia ni shida.
Hili timu litakuja kutuua kmmmmmae.
Yaani kuanzia mmiliki, management, kocha na wachezaji wote wanatakiwa wapelekwe Gaza wakafundishwe uzalendo wa kweli na wale vijana machachari wa Hamas.
 
Back
Top Bottom