Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,111
- 16,158
Unaandika kama huna meno😂😂😂Sipemd ki argue na mashabiki ambao Tim yao haina maendeleo yyt. Haitarajii mubeba chochote
Unaandika kama huna meno😂😂😂Sipemd ki argue na mashabiki ambao Tim yao haina maendeleo yyt. Haitarajii mubeba chochote
Una kiwango gani cha Elimu??ulihitimu kweli hata darasa la Saba??maana kwa Uandishi huo hata mtoto wangu wa Kindergarten anakushinda,halafu ukute ninyi ndio mnaokataa Bandari isichukuliwe na Waarabu wakati hata kuandika kwenyewe shida,wewe na wenzio wa Man U mtabaki kuwa MANYUMBU na mtaendelea KUGONGWA mpaka MCHAKAE KENGE ninyiSipemd ki argue na mashabiki ambao Tim yao haina maendeleo yyt. Haitarajii mubeba chochote
Hayo si yalishapita. 😂Mambo yalipamba moto sana mpaka tukagoma kuingia hili jukwaa😂😂😂
Habari za leo ndugu zangu. Hii tumeipenda wenyewe acha ituue tu.
BInafsi napenda tunavyo pata haya matokeo pengine Glazzer wanaweza kufikiria kuondoka. Na hapo tunaweza kuanza upya kujitengeneza bila kujali kocha atakuwa nani, japo natamani sana Eric abakie, naamini ana kitu cha ku prove.
Najua saizi mashabiki tumesha gawanyika. Kuna watakaonona tatizo ni Uongozi, wengine Kocha wengine watasema wachezaji. Ukweli ni kwamba kila mmoja anaweza kuwa sahihi kutokana na hoja zake.
Nitajaribu kuzungumziaa mitazamo tofauti.
Nianze na kocha, kitu pekee ambacho binafsi namlaum Eric ni kuiacha falsafa yake,( mpira ulio mtambulisha hasa akiwa Ajax) lakini katika hili napata pia ugumu kumlaumu tena kwa sababu kuu mbili.
1) Alijaribu kuimplement ikafeli, je angekomaa nayo wakati sisi mashabiki na uongozi una hitaji zaidi matokeo?? Tukumbuke kuwa yupo kazini na anakuwa judged kwa matokeo zaidi.
Lakini pia nikamkumbuka Van gaal ambaye katika makocha walio pita kwetu ni yeye alijitaidi kuweka identity yake kilicho mgharimu ni kwamba hakupata sapoti ya kutosha lakini pia Uongozi ulitaka matokeo/mafanikio ya haraka akaonekana hana maana. Kwa reference hii ndogo naweza kumuekewa Erick kwa nini ali opt kutafuta matokeo kwanza.
2 ) Wachezaji alio wakuta wangeweza kuendana na mfumo huo. Kumbuka kikosi alicho kikuta kwa asilimia kubwa ni mazao ya Mou na Ole, hawa ni watu wa wili wenye mifumo tofauti, kwa hiyo Ten hag angekuwa na kazi mbili, ku shape wachezaji wa mifumo tofauti wafiti kwenye mfumo wake auu wachezaji wengi waondoke ili alete watu wanao mfaa, hivi viwili vyote vimekuwa vigumu kufanyika. Kwa hiyo amejikuta hana namna nyingine.. Kwa akili yangu fupi msimu jsna baada ya kumkosa De jong ambaye alikuwa ni first target ya kocha, basi nilitegemea mbadala wake angekuja mchezaji mwemye profile inayo endana na De jong. ila akaja Casemiro( Sio mchezaji mbaya na ametusaidia sana) Hapo unategemea kocha ataweza ku endelea na Plan yake auu inabid abadil plan kulingana na aina ya wachezaji alio nao
Kwa upande wa wachezaji nawalaumu kwamba wengi hawaonyeshi juhudi za wazi katika kuipigania timu. hakuna timu ambayo ina World class watupu. Ila timu nyingi zinazo fanikiwa ni kwa sababu wachezaji wanakuwa na spirit ya hali ya juu katika kuipambania timu. Hiki ni kitu tuna kikosa kwa wachezaji wetu. Hapa ndio unakumbuka ile kauli ya Ralph kuwa timu ilihitaji mabadiliko makubwa sababu kubwa ni hii.
Upande wa uongozi. Kwa mtazamo wangu hapa ndio kwenye shina la tatizo. Uongozi haunyeshi kama una maono ya uwanjani. Anzia kwenye aina ya makocha ambao wanakuja utagundua kuwa hata uongozi haujui unataka nini na identity ya timu ni ipi.
Moyes>Van gaal>Mou>Ole>Ralp>Eric. Utaona hapo hakuna muendelezo wa falsafa. Kwa hiyo lazima kila kocha aanze upya. Na kwa hali ilivyo mimi huku Nanjilinji naona kuna umuhimu wa kuwa na DOF (mtu anaye weza kusimamia mambo ya uwanjani) lakini uongozi wangu hawajaona huo umuhimu bado, hili ni tatizo.
Kuna wanao sema Uongozi wetu umetumia hela nyingi lakini hawaoni matunda labda ndio maana wamekuwa wachungu.
Lakini fuatilia sajili ambazo tumetumia gharama kubw recently sababu ilikuwa ni either biashara auu delay zetu za kijinga mpaka kujikuta unalazimika kutoa hela nyingi. Refer ishu ya Anthony,Casemiro nk. Lakini pia wanapo pewa option ya kusajili kwa bei ndogo bado hawakubali refer Enzo,Haland nk. Lakini pia sina hakika kama Scouts wetu wana fanya kazi ipasavyo auu ndio hawasikilizwi. Kuna stor kuwa Eric anasajili watu ambao ana connection nao. Tangu Moyes tumekuwa na kasumba hii, ni kama timu haina ushawishi. Wachezaji wengi tumepata ni either wana connection na kocha auu lah basi ni kwa hela nyingi. Moyes na Fellain. Kwa Van gaal na Waholanzi+ Bastian, Mou na Ibra+ Matic. Kuna jinsi tuna struggle sana kupata wachezaji wazuri kwa bei za kawaida kama hakuna conbection, hii sijui shida ni nini
Pia turudi nyuma kidogo. Uongozi huu huu ambao uliruhusu mtu kama Herrera aondoke bure sababu alitaka kuongezewa mshahara( inawezekana alihitaji mkubwa kuliko impact yake) lakini wakaidhinisha mkataba mpya wa Phil Jones alikuwa wodini tu. Ni nani anaelewa kwa nini msimu ulio pita tulimkosa Gapko??
Na kuna mlolongo wa maamuzi ya ajabu ambayo yamekuwa yakifanyika kwenye timu yetu unabaki kujiuliza hivi hawa Glazzer na wasaidizi wao ni wazungu auu.
Nitakuwa wa mwisho kuamini makocha wote walio pita kwetu ni wabovu,
Ujinga kama kisogoShida humu mnaona aibu kukubali 7hag Ni kocha wa kawaida sababu mliaminishana Ni Kocha wa level za kina Pep na Klopp
Mnaogopa kula matapishi Yenu
Tuliposema huyu kocha Ni tapeli tu mlituona tuna chuki
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha 🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.Yani nyie nyumbu mnafurahi mechi moja, mechi mbili mnakimbiana😂
OT kama Nagwanda sijaona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie NYUMBU mnadanganyana nini humu??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnaidhalilisha sana Old Trafford,zamani ukisikia Timu yako inaenda Old Trafford unaogopa,siku hizi ni pa kawaida tu kama NANGWANDA SIJAONA Stadium tu,nasemaje,mtaendelea KUGONGWA mpaka MCHAKAE KENGE nyinyi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaandika kama huna meno[emoji23][emoji23][emoji23]
Nafasi ya 12 tuu..? , Hapo ongelea nafasi ya Chelsea au chini zaidi ya hapoMashabiki wengi mlimuweka 7hag kundi la kina Pep ,klopp
Kwasasa mnaona aibu kukubali mlipigwa
Sio dhambi kukubali mlikosea
Galatasaray Sioni wakiwaacha
Kwa ratiba yenu ilivyo hizi mechi ndio mnatakiwa muokote point kabla hamjakutana na Newcastle Carabao na EPL, mancity , Liverpool, Baryen UCL,
Hizi mech za Sasa mtapigika ,zikija hizo watamalizia kuwabonda
Ndipo mtakapokiri 7hag sio kocha Ni dalali tu ,kipind hicho mpo nafas ya 12 ,
Manchester United badala ya kusajiri kocha wao wakasajiri msemaji wa timuMan u mnajaribu kuingia top 4 View attachment 2767851
Ni kweliUsiwavimbishe kichwa spurs , hamna timu pale , cha maana walichofanya ni kumuondoa Yule mpumbavu Kane selfish , na kumpiga bench Uchochoro Dier , hyo ndo changes inayoleta matokeo sasa , ufundi wa Kocha tutaungalia kuanzia Kati Kati ya msimu
Hii ni kweli kabisaaaMdau kutoka fb
Everton chini ya ancelot ilikua top 6 wachezaji wakawaida tu ila kwakua kocha ni mbunifu anacheza nao ivo ivo ona kaondoka
Everton imeshuka mpk mwishoni wa msimu jana nusu ishuke daraja
Kwaio mkiambiwa kocha wetu ni bado kocha kinda muelewe angalia unai emery kaichukua aston villa ikiwa ya 17 kwenye msimu game ya kwanza anacheza na united ya moto tunakandwa 3-1
Kamaliza msimu wa 6 sjui 7 anacheza makombe ya ulaya
Shida yetu washabiki kusema ukweli hatutakj kwamba kocha wetu ni KINDA kimbinu umri mkubwa ila kinda tactically sio mzuri kubadilika badilika na ngumu kumanage resources alizonazo mpk umpe resources kamili
Mtabaki kulaumu wachezaji weeee mpk mmalize kikosi ila molali na discipline ya mchezaji inaanzia kwa kocha ake anaishi aje na wachezaji anawafunzaje direct and indirect mtu kuwa na performance nzuri????
Mtu anakosea kila mechi wewe uyo uyo unampanga kila game yupo kila game yupo kwann asiendeleze ufampa mzee
Em angalia city angalia Madrid angalia Brighton angalia aston villa angalia Newcastle angalia hata arsenal TU
Gabriel JESUS si anakua ubao fresh dogo nketiah anaanza skuizi we unazan kwann asiperform akipewa chance
Angalia city msimu ulopita vikosi vyake kila game mabadiliko yapo kila game
Iyo ndo namna ya kujenga molali kwa wachezaji mtu anataka akiingia afanye kweli kmmk mana anajua akileta usenge ni bench game 3
Sasa wewe kocha ako mzuri wachezaji wabaya kila game Rashford Bruno Antony
Na unategemea tu always upate ushindi unazani waaalimu wa timu pinzani wapuuzi hawakusomi mzee
Afu mtu anakwambia ety united shida players kweli tupo wazima wanangu hivi wewe na spurs palace Brighton mchezaji mmoja mmoja nan anaikuta squad ya UNITED
Timu I ashinde kuperform kwasababu kocha hana nidhamu na wachezaji wake hata kama ni wewe unajitoa mazoezini upate nafasi ya kucheza afu huchezi na anayecheza anacheza UTOPOLO na kila mechi anapangwa wewe kama player HUPOTEZI MOLALI KWELI??