Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naiangalia totenham inavyocheza mpaka unaenjoy.
Wana mwalimu anayefundisha modern football na sio Haram football

Waliachana na Conte aliyekuwa anajificha kwenye kichaka Cha Dani Levi

Levy alimpa pesa akasajili Richarlson, kuluveski, N.k alisajili wachezaji aliowataka ,but Conte hawez Tena kutamba na Haram football kwa Ligi Kama EPL ,

Ujinga wa bodi ya manjesta wakimtimua 7hag watamuajili Conte
 
Amrabat anachojua ni ngumi na mieleka

Nyie mtapigwa mpaka akili ziwakae sawa! Kenge nyie!!
Hawa jamaa sio kwamba Wana wachezaji wabaya ,Tena Wana wachezaji wazuri wenye profile tofauti tofauti

Tatizo kocha wao uwezo mdogo hawez kutamba kwenye hii modern football

Hawez kufundisha

1.Proper Buildup ya kisasa ,Ni anajaribu tu
2.Positional play kwa wachezaji ili asitabirike

Tatizo kubwa lingine ana poor talent ID , hajui kuwatumia wachezaji sahihi kwa wakati sahihi hajui ku combine profile za wachezaji kupata ubora wa timu kwa ujumla

Ndio Maana unaona malalamiko kwa kina Anthony,Rashford

Hata huyu Amrabat ataonekana Kama Baraka majogoro tu
 
Hao Liverpool wenyewe pamoja wako pungufu lakini mpira wanaoupiga unajikuta tu unajiuliza hivi timu yetu inacheza football au hua tunacheza mdako
Kwa mpira huu tunaocheza tukienda Anfield tusipogongwa goli 10 ntaamini kweli uchawi upo.
10 hamuwez kufungwa hata 7 hamuwez kufungwa ,

Ila Sion mkishinda

Mna kocha wakawaida sana
 
Ujinga wa kocha ndio unatuponza, ameshaona kuna wachezaji hawachezi kama team lakini bado anakomaa nao. Rashford kwa sasa ni kama kirusi kwenye timu. Hajui ni wakati gani acheze na mpira na wakati gani atoe pasi.

Tuna kikundi cha wachezaji wazuri lakini hatuna timu.
 
Hao Liverpool wenyewe pamoja wako pungufu lakini mpira wanaoupiga unajikuta tu unajiuliza hivi timu yetu inacheza football au hua tunacheza mdako
Kwa mpira huu tunaocheza tukienda Anfield tusipogongwa goli 10 ntaamini kweli uchawi upo.
Safari hii ni kumi
Tukija kwenu ongeza mengine matatu hapo juu.
 
Wana mwalimu anayefundisha modern football na sio Haram football

Waliachana na Conte aliyekuwa anajificha kwenye kichaka Cha Dani Levi

Levy alimpa pesa akasajili Richarlson, kuluveski, N.k alisajili wachezaji aliowataka ,but Conte hawez Tena kutamba na Haram football kwa Ligi Kama EPL ,

Ujinga wa bodi ya manjesta wakimtimua 7hag watamuajili Conte
Kuna mda ua unaongea point, lakin Conte hapana kwakwel.
 
Ujinga wa kocha ndio unatuponza, ameshaona kuna wachezaji hawachezi kama team lakini bado anakomaa nao. Rashford kwa sasa ni kama kirusi kwenye timu. Hajui ni wakati gani acheze na mpira na wakati gani atoe pasi.

Tuna kikundi cha wachezaji wazuri lakini hatuna timu.
Alafu ndio kaongezewa mshahara 350k
 
Back
Top Bottom