2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,725
Unyumbu mwingiOneni maendeleo ya timu yenu
View attachment 2768343
Kweli kabisa watu wavumilie tu maana akiondoka EtH tunarudi mwanzo. EtH nampa msimu huu na msimu ujao baada ya hapo hakuna kisingizio.Ikitokea mnabadili kocha hivi karibuni Basi mtarudi hatua 5 nyuma
mawili either mmalize msimu na 10hag au [emoji115]
Anthony
Ericksen
Casimiro
Onana
Martinez
Hojlund
Amrabat
[emoji115] Hao wote ni mapendekezo ya 10hag, akija kocha mwingine anaweza kukuambia Martinez na Anthony hawapo kwenye mipango yangu. U see
Man u inahitaji kujenga timu, trust the process
In the process of making a team there are ups and downs
10hag afukuzwe kazi pale msimu ukiisha, itakua Bora zaidi.
Swali, anatoka 10hag anakuja nani?
Chelsea wangebaki na Tomas tuchel na kikosi Chao hiki, Basi wangekua washindani kweli kweli kuliko huyo pochetino
Chelsea ina kila kitu, na bado January wanarudi sokoni
Nawauliza Tena akitoka 10hag aje Nani?
Muda huo Ange wa Spurs ana miezi tu😂😂Kweli kabisa watu wavumilie tu maana akiondoka EtH tunarudi mwanzo. EtH nampa msimu huu na msimu ujao baada ya hapo hakuna kisingizio.
De Zerbi na Ruben Amorim hawamzidi uwezo Ten Hag hata kidogo.Wapo makocha wengi wanamzid uwezo, yule wa sporting Lisbon, Hans flick, Di Zerbi, Zidane, wapo wengi Sana Ni kutulia tu, Spurs wamempata wap Ange
Endelea na ubishi ila ukweli unaonekana 7hag Ni dhaifu au uwezo mdogo maeneo yafuatayo ambayo kocha hata wa wolves anatakiwa kuwa nayoDe Zerbi na Ruben Amorim hawamzidi uwezo Ten Hag hata kidogo.
Hans Flick huyu ambaye ametimuliwa hata national team ya Ujeruman kwa kushinda michezo michache kuliko aliyopoteza?
Tatizo kubwa la spurs lilikuwa Kane na backward mbovu ikiongozwa na Erick dier , Kane alikuwa ni fighter Ila ni selfish , makocha iliwalazimu kutengeneza timu imzunguke yeye, ili kuleta team work alitakiwa atoke , nashangaa Kwa nini walichelewa kulitambua hili , wamaemuuza team imepumua kuwa free kucheza , na pia wamempiga bench Erick dier ambaye nafkr ndo poorest central defender katika premier League..angalau sa hv defence imekuwa na muunganikoKane hakuwa uchochoro, huwez kusema Hakuna utofauti wa uchezaji wa Conte mabeki wa 5 , na uchezaji wa Ange ambaye anawatumia Bissouma na Sarr ambao Conte aliwakataa kwenye mfumo wake
Conte alikuwa anatembea na Hojberg na yule mu Uruguay .
Nahisi rushford anakwenda kupoteaRashford ni Gabriel Obertan aliyechangamka.
Tatizo kubwa la spurs lilikuwa Kane na backward mbovu ikiongozwa na Erick dier , Kane alikuwa ni fighter Ila ni selfish , makocha iliwalazimu kutengeneza timu imzunguke yeye, ili kuleta team work alitakiwa atoke , nashangaa Kwa nini walichelewa kulitambua hili , wamaemuuza team imepumua kuwa free kucheza , na pia wamempiga bench Erick dier ambaye nafkr ndo poorest central defender katika premier League..angalau sa hv defence imekuwa na muunganiko
Kocha anatakiwa aweke backup chapchap. Vinginevyo timu itafungwa Gori nyingi sana huu. Onana ni njembanjemba aliyeshindwa unitedLaana ya kumtimua De Gea itawaandama mpaka mumuonbe msamaha.
Spurs na United ni timu mbili tofauti haziwezi kufanana. EtH yupo under pressure.Muda huo Ange wa Spurs ana miezi tu😂😂
Jiulize mpaka huo msimu ten hag ana click Ange atakua step gani.
Ni kweli tunaelekea nafasi ya 17 lkn sio kweli kwamba kocha.Mashabiki wengi mlimuweka 7hag kundi la kina Pep ,klopp
Kwasasa mnaona aibu kukubali mlipigwa
Sio dhambi kukubali mlikosea
Galatasaray Sioni wakiwaacha
Kwa ratiba yenu ilivyo hizi mechi ndio mnatakiwa muokote point kabla hamjakutana na Newcastle Carabao na EPL, mancity , Liverpool, Baryen UCL,
Hizi mech za Sasa mtapigika ,zikija hizo watamalizia kuwabonda
Ndipo mtakapokiri 7hag sio kocha Ni dalali tu ,kipind hicho mpo nafas ya 12 ,
Dogo nawe usijikute mchambuzi kiivo. Man u inashida sawa ila hata wewe ni mpiga zumari huna uchambuzi wowote hilo nilithibitisha pale Man u wanaposhinda huwa unajizima data kabisa hata kucoment humu huwa hutokei thats not sportsmanship.Endelea na ubishi ila ukweli unaonekana 7hag Ni dhaifu au uwezo mdogo maeneo yafuatayo ambayo kocha hata wa wolves anatakiwa kuwa nayo
[emoji599]Ten hag Ni dhaifu kwenye kufundisha buildup kutoka kwa kipa kwenda eneo la kiungo, hapa man u ukiwa press vzr wanachanganyikiwa , hili eneo makocha wengi wanaliweza hata lampard ,Potter wanaliweza ,Buildup zinatofautiana zipo zile Za kiwango Cha juu Kama za Arsenal, Brighton,mancity , Liverpool ,Chelsea
Hili eneo 7hag Ni dhaifu , Buildup yake Ni yakawaida tu
[emoji599]Pressing mpira ukifika mbele ,Pressing zinazofanywa na timu kubwa Ni za kiwango Cha juu, Ten hag hapa amefeli , wachezaji wa man u hawawez kabisa ku press
[emoji599] Talent ID,Ten hag ana poor talent ID, hajui kutumia profile za wachezaji kupata ubora , nakupa mfano Pep alimuangalia John Stones ambaye Ni CB, akagundua ana profile za kuwa inverted DM, ikamsaidia kupata matokeo , alimuangalia Walker Kama RB akagundua hafai kuwa inverted DM,
Sasa 7hag mechi ikiwa ngumu utamkuta Bruno Ni CB, amrabat anakuwa inverted DM kutokea LB , je Wana profile hizo
[emoji599]Kuinstall playing style
7hag hawezi na ameshindwa kuinstall playing style sababu Kama huwez kutambua profile za wachezaji hutaweza kuweka playing style ya kueleweka ,unajua kwa nini
Profile za wachezaj ndio huamua mfumo gani utumike,Thomas Tuchel alipofika Chelsea alitumia back 4 akala vipigo ,akawangalia wachezaji waliopo akagundua profile zao ni back 3 , timu ikatembea ,the same to Antonio Conte .
Hiko kitu maisha huwezi kukiona kwa 7hag
Mwaka Jana nilisema anapata matokeo kwa sababu kuu mbili ,zikiondoka hizo mtaona rangi yake halisi sikueleweka
Sababu zenyewe Ni
1.Rashford alikuwa anaingia kwenye form au Peak yake ya football hivo ulikuwa wakati mzuri Sana wa 7hag kujificha humo
2.Degea Ni best shot stopper ,aliiokoa Sana manjesta na vipigo ,niliwahi kuweka list ya mechi takribani 10 ambazo Degea aliirudisha timu mchezoni na Rashford akamaliza mechi .
But nilitarajia Rashford atarud kwenye Default settings,niliposikia Degea anaondoka kusema ukweli nilifurahi maana huyu jamaa manjesta ilikuwa inaweza kupotea kabisa,Lakini akaibakisha mchezoni
Moja ya mechi ambayo nilithibitisha Ten hag Ni kocha wa kawaida Ni vs Arsenal pale OT mnashinda 3-1
Ni mechi ambayo nilitoka na jibu moja Ten hag Ni kocha wa kawaida mwenye uwezo mdogo anayetembea na Form ya Rashford na saves za Degea