hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,514
Mimi Nimeanza kumpinga 7hag Ni kocha wa kawaida mwenye uwezo mdogo since anafikaDogo nawe usijikute mchambuzi kiivo. Man u inashida sawa ila hata wewe ni mpiga zumari huna uchambuzi wowote hilo nilithibitisha pale Man u wanaposhinda huwa unajizima data kabisa hata kucoment humu huwa hutokei thats not sportsmanship.
Zaidi ni mpiga kelele wa Arsenal na hater wa Man U kwa upande huo naweza kukuelewa.
Labda Kama unaniona leo