Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man u mnajaribu kuingia top 4
20230930_131551.jpg
 
Tuache utani wazee inaweza kuwa kweli Ten Hag tumepigwa. Mnaona mambo wanayofanya Spurs? Iweje kila siku sisi tu ndiyo project zetu zinafeli!!!
Spurs hawakumuangalia uson Conte

Mchumi Dani Levi alimpa pesa asajili lakin lawama akaendelea kupewa yeye na ulimwengu wa Soka kwa kufata mikumbo ukaamini

Spurs walikuwa wanapaki Basi wanasubiri kaunta Ni Mpira ulimsaidia mwanzoni but huwa una muda fulani

The same path aliyopita nayo 7hag , kwasasa hata Everton hamuwez kumfunga convincingly

Levi aliposhtuka anapigwa ,akamtimua Conte ,akamsajili Ange mwenye falsafa za kisasa

Conte had Sasa Hana timu

Mourinho ukimleta EPL Sasa hivi wanaweza mshusha daraja kabisa
 
Amrabat na mount ni bench warmer

Eric ten hag should play smart EPL is crazy

Mount ana pace akili ya mpira hana

Amrabat akili ya mpira anayo mwili ni kinu/km kafungwa kokoto anavyokimbia hadi nimemhurumia

EPL wahuni watakuwa wanatanguliza mpira ili wamwaibishe tu

Mount hatimizi majukumu yake anamtegea casemiro

Ten hag hapa asihesabu amesajili wachezaji hawa watamharibia kazi (mount na amrabat ni wachezaji wa kikosi

Hojlund anahitaji muda ku cope na kwa presha ya manchester united ulivyo tunaweza tusipate ubora wa dogo

Rashford alywas childsh (watu wenye vichwa vidogo na inasemekana uwezo wao wa kufikiri ni mdogo naanza kuamini kupitia uyu dogo

Nashindwa hata nimlaumu nani

Msimu huu ni km umeisha hivi

Ten hag atafute wachezaji mount na amrabat tutaishia kugombea carabao tu
 
Ninyi ni mapacha wa Chelsea ,Ten hag na Pochetino ni ndugu .
Trust the process "
The lad gave everything ,hizi kauli mzizoee
Hahaaaa mkomee ,inabidi akili zenu zikubali ninyi ni midtable club ,hamna uspecial wowote ,ninyi ni Chelsea B tu
Manundu Fc
 
Ninyi ni mapacha wa Chelsea ,Ten hag na Pochetino ni ndugu .
Trust the process
The lad gave everything
Hahaaaa mkomee ,inabidi akili zenu zikubali ninyi ni midtable club ,hamna uspecial wowote ,ninyi ni Chelsea B tu
Manundu Fc
 
Amrabat na mount ni bench warmer

Eric ten hag should play smart EPL is crazy

Mount ana pace akili ya mpira hana

Amrabat akili ya mpira anayo mwili ni kinu/km kafungwa kokoto anavyokimbia hadi nimemhurumia

EPL wahuni watakuwa wanatanguliza mpira ili wamwaibishe tu

Mount hatimizi majukumu yake anamtegea casemiro

Ten hag hapa asihesabu amesajili wachezaji hawa watamharibia kazi (mount na amrabat ni wachezaji wa kikosi

Hojlund anahitaji muda ku cope na kwa presha ya manchester united ulivyo tunaweza tusipate ubora wa dogo

Rashford alywas childsh (watu wenye vichwa vidogo na inasemekana uwezo wao wa kufikiri ni mdogo naanza kuamini kupitia uyu dogo

Nashindwa hata nimlaumu nani

Msimu huu ni km umeisha hivi

Ten hag atafute wachezaji mount na amrabat tutaishia kugombea carabao tu
Atafute wapi tena wakati ndo kaamua kuwaleta hao. Tukubali jamaa mweupe sana kwa kumfundisha EPL.
 
Back
Top Bottom