Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
Nimelia saanaLady gaga tena[emoji848][emoji848]
Nimelia saanaLady gaga tena[emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amrabat anachojua ni ngumi na mieleka[emoji23][emoji23]
Nyie mtapigwa mpaka akili ziwakae sawa! Kenge nyie!!
BujubujuSitii nenoView attachment 2770784
Kikosi Cha bwanyenye glazer tunashuka leo kugawa burudani kabambe Sana.View attachment 2770918
Akicheza na mabeki watatu mtakufa nyingiYan hiki kikosi hata sikielew...Kwa nn anamchezesha amrabat bek ya kushoto?kwa nn asicheze na beki 3 then amrabat asogee kati...ila kocha anajua zaidi...ngoja tuone
Rashford akili ya mpira imeshamtoka, sijui nawaza nini. Sehemu ya kutoa pasi hatoi, sehemu ya kutakiwa kufunga anato psi mbovu.Rashford akaze matako leo sasa khaaaaaa