Manchester United (Red Devils) | Special Thread

TRIP SHAMBA TRIP GEREJI

Unawapa credit kubwa sana Palace jinsi walivyokuwa wabapambana kupata ambacho walikuwa wamekifuata pale Old Trafford

1: Zuia kwa idadi kubwa ya wachezaji bila mpira katika 5-4-1

2: Achana na kuwa press Man United , bali mpira ukipotea rudi nyuma na funga space katikati ya uwanja waache pembeni wapige krosi

3: Ukipata mali hakuna kubutua , unawatumia Mateta kukaa nao , Ayew kutembea nao pembeni na Eze kutembea nao nyuma ya kiungo cha United

4: Mwisho Sam Johnstone fanya kazi yako golini . Easy point tatu wanarudi nazo London ( Nyie bakini kushinda mechi ya Carabao Cup )

Man United sijui unaanzia wapi ?

1: Chaos football . Hakuna utulivu , kila kitu kinafanywa haraka haraka .

2: Decision making : Sehemu ya kucheza mpira rahisi , wanaufanya mgumu . Pasi rahisi , inaongezewa ugumu

3: Casemiro , Amrabat zinachezwa rafu ambazo hazina ulazima kabisa kuwapa faida Palace pale ambapo nawataka kupumua .

NOTE

1: Kwani United wanacheza soka la namna gani ?? ETH anahitaji kujibu hili pia ( ni muda wa kutoka kwenye kichaka cha Glazers , inajulikana tatizo sugu lakini na yeye ana mzigo wake wa lawama .

2: Lile goli la Andersen utasema kafunga Zidane

3: Ila Rashford ?

4: Kafundishwa kwenye academy ya United , katikati ya wiki kapigwa chuma 3 leo kasema hampati kitu . Saves mbili nzuri ( Sam Johnstone )

5: Mechi 7 za EPL na tayari United kafungwa 4

#Ambangile
 
Umeona hapo Ambangile anahoji uwezo wa 7hag

Alikuwa mbishi Sana ,nikamuelekeza had akaelewa 7hag Ni kocha wa kawaida Sana

Thus why naitwa mchambuzi Nguli mwenye beji ya FIFA
 
Tatizo ni hili bichwa
20230930_191952.jpg
 
𝐄𝐫𝐢𝐤 𝐭𝐞𝐧 𝐇𝐚𝐠 is yet to lose a domestic cup game at 𝐎𝐥𝐝 𝐓𝐫𝐚𝐟𝐟𝐨𝐫𝐝:

4-2 vs. Villa
2-0 vs. Burnley
3-1 vs. Everton
3-0 vs. Charlton
3-1 vs. Reading
2-0 vs. Forest
3-1 vs. West Ham
3-1 vs. Fulham
3-0 vs. Palace

The Reds go marching on. 🫡

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2764345

It's over!

Man U 0 - 1 Crystal Palace
 
Crystal palace uyu ambae arsenal alishinda kwa tabu sana tena kwa penalty
Katoa sare na brentford
Kampiga wolves
Katoa sare na fulham
Team Kama hiyo unaeza sema ni mbovu kwel??
Yes Manchester yetu haiko vzuri lakn angalau tumeona utofauti jana

Ndugu ulikuwa sahihi kwa Palace, lakini vipi bado kwa Manchester United umeona hiyo tofauti?
 
EtH aanze kutueleza huu mpira tunaocheza ni mpira gani..
Yani mkuu hatuna style ya mpira tunayocheza na sijui hata total football kama ipo hivi... Kuna mtu anaiita haram ball...

tunakosa creativity ya kocha kwenye final third ndio maana hatufungi magoli mengi

Mda wote unaona kuna nafasi katikati lakini tunacheza side passes zisizo na maana
EtH aanze kutueleza huu mpira tunaocheza ni mpira gani..
 
Ni mwendo wa vipondo tu ,na mtajuta kushiriki epl msimu huu Fisi maji wakubwa ninyi .
 
Back
Top Bottom