D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Dalot yupo kwenye ligi ya peke yake, mechi mbili hizi amecheza vizuri sana
Sema wenetu furaha yenu haijawahi kudumu
ETH is cooking
𝐄𝐫𝐢𝐤 𝐭𝐞𝐧 𝐇𝐚𝐠 is yet to lose a domestic cup game at 𝐎𝐥𝐝 𝐓𝐫𝐚𝐟𝐟𝐨𝐫𝐝:
4-2 vs. Villa
2-0 vs. Burnley
3-1 vs. Everton
3-0 vs. Charlton
3-1 vs. Reading
2-0 vs. Forest
3-1 vs. West Ham
3-1 vs. Fulham
3-0 vs. Palace
The Reds go marching on. 🫡
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2764345
Crystal palace uyu ambae arsenal alishinda kwa tabu sana tena kwa penalty
Katoa sare na brentford
Kampiga wolves
Katoa sare na fulham
Team Kama hiyo unaeza sema ni mbovu kwel??
Yes Manchester yetu haiko vzuri lakn angalau tumeona utofauti jana
Yani mkuu hatuna style ya mpira tunayocheza na sijui hata total football kama ipo hivi... Kuna mtu anaiita haram ball...EtH aanze kutueleza huu mpira tunaocheza ni mpira gani..
EtH aanze kutueleza huu mpira tunaocheza ni mpira gani..
Ndugu ulikuwa sahihi kwa Palace, lakini vipi bado kwa Manchester United umeona hiyo tofauti?
Wanangu mi tu ningewaambia kuwa tusidanganyike na kaushindi ka jana,
Ten hag ni mmbovu.
Crystal palace ni wabovu ndio maana tuli dominate
Na walikuwa wanakabia nyuma wa mstari wa kati kati.
#TENHAGOUT
#GLAZERSOUT
Hilo mnalocheza linaitwa pochetino's ballYani mkuu hatuna style ya mpira tunayocheza na sijui hata total football kama ipo hivi... Kuna mtu anaiita haram ball...
tunakosa creativity ya kocha kwenye final third ndio maana hatufungi magoli mengi
Mda wote unaona kuna nafasi katikati lakini tunacheza side passes zisizo na maana



, ni kushambulia kama hamtaki kufunga 



Asee ni shidaMarefa tumewakosea nini, hata dakika za nyongeza tunabaniwa.
Kweli shetani amedondoka
EtH aanze kutueleza huu mpira tunaocheza ni mpira gani..
