Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
Ana uwezo mkubwa wakati anapigwa back-to-back. HAHAHAH!Nitajie kocha gan hajawahi fanyiwa humiliation
Yaan mnamfatilia Brighton mwenye kikos hakizid hata €30m ,wakati 7hag ameunda kikos Cha zaidi ya €400m
Hamuoni aibu
Brighton hana Cha kupoteza
Di Zerbi ameshathibitisha ana uwezo mkubwa kuliko hata 7hag