Toa Rashord hapo weka Garnacho Rashford mmoja anaweza fanya timu nzima ionekane takataka leo hakuwepo timu imetumia chances vizuri.ONANA
SHAW
MARTINEZ
VARANE
AWB
AMRABAT
CASEMIRO
MOUNT
RASHFORD
HØJLUND
FERNANDES
Natamani hii siku ifike, line-up kama hiyo kuna wapuuzi wengi tutapiga mkono kama siyo wiki.
Buda huwa uchoki kutuma aya
Wanangu mi tu ningewaambia kuwa tusidanganyike na kaushindi ka jana,
Ten hag ni mmbovu.
Crystal palace ni wabovu ndio maana tuli dominate
Na walikuwa wanakabia nyuma wa mstari wa kati kati.
#TENHAGOUT
#GLAZERSOUT
Na wewe mkandiaji wa arsenal au?Mbona kila jukwaa lina mtu anayehabarisha na hujawauliza kama hawachoki?
Ntyga anafanya kazi nzuri
Man U: NtYga
Arsenal: Hamis77
Chelsea: Lembu
Liverpool: Captain marvelous
Man City : Pain killer
That's spirit 🔥Buda huwa uchoki kutuma aya
[emoji23][emoji23][emoji23] Mechi inayofata Rashidi na Eriksen wanaanza kama kawa,Leo tumepiga pira la kidachi "total football" huwezi kuelewa striker wala beki ni nani [emoji3] watu wanatembea uwanja mzima.
Amrabat ana-bully tu kale katoto. Dalot na Pellistri wanatembeza visambusa tu.
Hii ndiyo maana ya team-play sasa wakiingia wale walevi wakina Rashford matusi yataanza.
𝐍𝐢𝐳𝐨𝐞𝐞 𝐭𝐮 𝐌𝐊𝐔𝐔.Buda huwa uchoki kutuma aya
Mechi ya jana umeangalia? Højlund kaingia muda watu wamechoka na Palace wakapaki basi. Wachezaji wetu walikuwa wanapiga pasi tu bila threat yoyote. Tena Højlund alifanya vizuri pale mbele kwa dk chache tu alizocheza.Huyu Hojlund ilikua ni gambling na tumepigwa
Heri wamrudishe rashidi namba9 huyu apelekwe team B huko ya vijana akajaribu kukuza uwezo wake
Kuanzia aanze kucheza sioni madhara yake kama namba9 kiukweli hata nafasi anazopata nyingi anaishia kushika kichwaMechi ya jana umeangalia? Højlund kaingia muda watu wamechoka na Palace wakapaki basi. Wachezaji wetu walikuwa wanapiga pasi tu bila threat yoyote. Tena Højlund alifanya vizuri pale mbele kwa dk chache tu alizocheza.
Angalia hizi stats za PL.
View attachment 2764020
Rashford ajifunze hata kwa Garnacho au Pellistri namna winger anapaswa kucheza. Uvivu na uchoyo ndiyo vinamsumbua.[emoji23][emoji23][emoji23] Mechi inayofata Rashidi na Eriksen wanaanza kama kawa,
Hii timu tokea aondoke SAF Management ilikaa na kushauriana kwa pamoja kua mashabiki wa Man Utd hawapaswi kua na furaha ya kudumu.