2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,725
Tungejua nafasi ya kushiriki UEFA msimu huu tungewachia tu hata Liverpool, yaani tunacheza utumbo mkubwa mno, Leo mwisho kuangalia game za Manchester United.
Forgotten kumbuka niliyokuambia sasa unanielewa.Ana uwezo mkubwa wakati anapigwa back-to-back. HAHAHAH!
Kuna shabiki wa Man U alikuwa anatusumbua wiki ilopita kule kwny jukwaa letu tulivo draw.....nikakwambia natafuta wiki watakayokuwa wanamtukana bwana Rashid Makame....kumbe hyo wiki haikuwa mbali....ni wiki hiiHua napenda mkipata matumaini n then those weak hopes get crushed.
Pumbavu
Wanasema kocha Hana tatizoForgotten kumbuka niliyokuambia sasa unanielewa.
Tatizo la hii team ni kocha na tactics zake za kiseng
Clean what? Shit? Did u say shit? 😄😄😂😂😂😂Another day another clean sheet
GGmun![]()
Mm niliwaambia wanapata wapi nguvu yakuja jukwaa la Arsenal wakati hawana kochaKuna shabiki wa Man U alikuwa anatusumbua wiki ilopita kule kwny jukwaa letu tulivo draw.....nikakwambia natafuta wiki watakayokuwa wanamtukana bwana Rashid Makame....kumbe hyo wiki haikuwa mbali....ni wiki hii

Nyumbuzii
